Dereva mahiri

Dereva mahiri

Kwa wale waliowahi kusafiri kutoka Njombe kwenda Songea kabla ya barabara ya lami kujengwa watakumbuka milima ya Lukumburu ambao hautofautiani sana na picha hiyo iliyowekwa kwenye mada hii.Kazi ya kupanda mlima huu hadi kufika kileleni ilichukua karibu masaa mawili hivi kulingana na umahiri na uzoefu wa dareva.Barabara ilikuwa nyembamba na ya vumbi,wakati wa masika ilikuwa shughuli pevu.
 
Barabara nyingi za Pakistan kwenda India, Afghanistan na Bolivia ni za mtindo huo, kuna milima huko balaa. Halafu ajali ni nadra sana.
Pakistan to Bolivia?!!cheki ramani yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom