Sio nafikiri mkuu, ndo penyewe hapo na inakuchukua masaa 12 kufika kilele. Laiti Afande mkuu wa matrafiki Tz angewapeleka Study Tour ma RTO wote Tz huko. Wangerudi na kuanzisha jukwaa la madereva mahiri Tz. Dereva wa gari la abiria angeenda fanyiwa test huko, nadhani ajali zingepungua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.