RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,769
- 129,513
Front tyre ziko hewani na ninavyojua ndiyo zinazovuta gari!
Vitara ni 4wd....hata hivyo sio kila gari ni front wheel drive....mark2 110/100 verossa/mark x/bmw/mercedes benz zote rear wheel drive.

Hapa bila imani huwezi amini ukionacho
Front tyre ziko hewani na ninavyojua ndiyo zinazovuta gari!
ndio unavyojidanganya?? hiyo gari ni 4WD
Vitara ni 4wd.....Unafanya hivyo hivyo kama ni auto....mguu wa kushoto kwenye brake,wa kulia kanyaga wese bati then achia brake pedal rapidly!