The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,093
- 102,593
Sasa wewe wakati unamtuma huyo bodaboda wala hukua unampa maelekezo kua unataka akuletee nyama ya nini?
Labda kwa vile yeye hula Mbwa akajua na wewe ndio wale wale tu,hata wewe kuna uzembe umefanya wa kutomwambia unataka nyama ya nini?