Depo mpya

Depo mpya

Hapana mkuu hajawadharau kawasalimia salamu ya poleni na safari na hongereni kwa mafunzo na nendeni mkatimize wajibu wenu, sasa madogo baadae yakaanza unatukaguaje sisi wewe ni uhamiaji tu duuuh nilinyamaza kimya
Basi hao ni malimbukeni
 
Weee weee balaa la askari mpya ni hatari hasa hawa wa uu mshati mshatii mara full mayoko hata akitembea anawaza hivi hawa wanajua mimi mbaka baka wakienda pass ya kwanza baada ya mafunzo ya awali salaleeee ila wakishakaa mwaka naa kitu hivi basi hivyo muwasehe bure jameeni
Hatari sana
 
Weee weee balaa la askari mpya ni hatari hasa hawa wa uu mshati mshatii mara full mayoko hata akitembea anawaza hivi hawa wanajua mimi mbaka baka wakienda pass ya kwanza baada ya mafunzo ya awali salaleeee ila wakishakaa mwaka naa kitu hivi basi hivyo muwasamehee bure jameeni
😁😁😁 RTS ni jando la hatari.
 
Acha nao

Mpaka kufikia 2026 hao uliowaona kwenye basi naamini nusu yao tutakuwa tumeshawafukia ardhini
Jambo dogo TU mkuu ushaanza kuwachuria washkaji?
Kifo kipo TU. Nitakufa, utakufa, nao watakufa lakini si haja kuonesha unajua Hadi mda wAo wa kufa.
 
Jambo dogo TU mkuu ushaanza kuwachuria washkaji?
Kifo kipo TU. Nitakufa, utakufa, nao watakufa lakini si haja kuonesha unajua Hadi mda wAo wa kufa.
Hawa jamaa nawachukiaga kinoma hasa pale wanapojifanyaga wapo juu ya sheria,hivyo natema nyongo ili moyo utulie
 
Bado hawajazoea vazi huwa kuna kaulimbukeni fulani tu ka muda sasa wangekuwa wametoka kuutafuta mshati si ndo ingekuwa balaa, wasamehe tu watazoea.
Mshati hauna chochote ndugu yangu,kila anapoenda mwenye mshati(baka baka)na mapolisi wanaenda😱paresheni za ndani na hata za nje ya nchi.
Kikubwa uzalendo tu haijalishi wanalipwaje.Kwahiyo let them feel proud of their work.
 
Hawa jamaa nawachukiaga kinoma hasa pale wanapojifanyaga wapo juu ya sheria,hivyo natema nyongo ili moyo utulie
Hahaha wapende tu ndugu yangu maana sio wote ni wajinga isipokuwa wachache ndio wanaharibu taswira nzima
 
Mshati hauna chochote ndugu yangu,kila anapoenda mwenye mshati(baka baka)na mapolisi wanaenda😱paresheni za ndani na hata za nje ya nchi.
Kikubwa uzalendo tu haijalishi wanalipwaje.Kwahiyo let them feel proud of their work.
👏
 
Hao bado wana moto wa mafunzo,ni kawaida hiyo hali,wakitulia mtaani wenye common sense watarudi kukaa sawa,wengine watakuwa na sumu za kudumu.
Kwa hali hii ya TOZO kila kitu af itokee tu mmoja wao anizingue me bila tatizo lolote lazima nimkate TOZO
 
Mshati hauna chochote ndugu yangu,kila anapoenda mwenye mshati(baka baka)na mapolisi wanaenda😱paresheni za ndani na hata za nje ya nchi.
Kikubwa uzalendo tu haijalishi wanalipwaje.Kwahiyo let them feel proud of their work.
Uko sawa ila bila kuleta mabishano kila mmoja ana majukumu yake mahala pake na umuhimu wake ila upo utofauti mkubwa sana wa training kati ya hayo maeneo bila kujali salary hilo sikutaka kulisema kwasababu siyo lengo ila nadhani unafahamu kuna training PF hawagusi za TPDF.
 
Ndivyo ilivyo
 
Ndio hivyo mkuu nimeshawasamehe maana hata mimi waliniona boya ila baada ya mda kupita wakajua huyu ni mlima parachichi wakanyea coz kuna mkuda akawasanua
Kumbe wakulima mna title sikuizi.... Hongereni, juhudi za sa100 hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom