Ha haaa, we ndugu yangu Rutunga kweli story yako inaendana na jina lako ni ya kutunga! sasa nakuweka sawa,usisikie poroja za kihuni za wafama maji au wenye wivu wanaokaribia kujinyonga,Huyu jamaa (mbunge mteule) ni mwadilifu kupita maelezo, ni mchapa kazi wa kuigwa ,ana uzalendo kwa nchi hii na record yako inathibitisha hivyo,now what happened is siku chache kable cam[paign kuanza alipata ajali jumapili moja akitoa kanisani kumcha Mungu kama ilivyo desturi yake.ajali ilitokea pale mlalakuwa alikuwa akiendeshwa na mwanae mmoja wa kiume, alipata mshituko sehemu ya shingo kwa sababu alikuwa anasoma gazeti wakati ajali hiyo inatokea,mimi binafsi ni kati ya watu wa kwanza kabis kuifka eneo la ajali,ambayo haikuwa ya kutisha sana,tulimpeleka hopitali akapimwa akapewa matibabu na kuruhusiwa siku hiyo hiyo ya jumapili, lakini maumivu yalipomzidia alishauriana na familia yake na chama chake na kwa kuwa hana mzaha na afya yake aliamua kwenda India kupata matibabu ya uhakika ambako alikaa for ten days na kurudi ngangari kuwahi kuelekea Ngara kuendelea na kampeni ambako amewabwaga wapinzani kwa kishindo plus wabaya wake wote .sasa unaposema hatembei hasimami una maana watu wangara wote ni wapumbavu kumpeleka mjengoni mgonjwa? alifanya je kampeni majimbo yote 20 ya ngara na kumpatia ushindi wa kishindo JK wa 84%? wewe ungeijua jiografia ya ngara ilivyo iusingeandika upuuzi kama huo,kule lazima uwe ngagari kinoma, the weakest fell by the way!! anayetaka kumuona mheshimiwa huyu anijulishe nimpangie mihadi ajionee alivyo mzima wa afya yupo nyumbani kwake mbezi beach akisubiria kuapishwa aingie mjengoni kuwatumikia wa Tanzania wenzake,Mungu mbariki mtumishi wako Deo Ntukamazina,Mungu ibariki Tanzania,JK mchapakazi muadilifu huyo wanangari wamekupa mtumie kadri uwezavyo, nasi tuko nanyi kwa maendeleo ya nchi tuachane na porojo, za wanafiki wafamaji.