Ndugu Dreamer, usikariri, angalia mtu binafsi usiangalie chama, je kina Mwakyembe si wako CCM au na wao unawaita mafisadi?
tatizo yuko kwenye Chama cha mafisadi
Chama gani??
hivi ndugu mwakyembe hawezi kuitwa mzee, au what is your definition ya mzee? naona ume misquote maana ya mzee, mimi nina maana mzee ni mtu mzima yeyote
Napenda kuwapongeza wana Ngara kwa kutumia vizuri haki yao ya msingi kumchagua mzee wetu mpendwa ndugu Deogratias Ntukamazina. Tuna uhakika mzee huyu atatumika vizuri kuleta maendeleo ya Ngara na taifa kwa ujumla.
Mungu ibariki Tanzania.
Ebu jibu Ndiyo au Hapana kwa haya1.Ntukamazina hakuwahi kufanya kamepeini kwa kuwa aliugua kiharusi2.Kwenye mikutano yake ya kampeini CCM walikuwa wakitumia picha yake kumnadi3.Ametanagzwa mshindi kupitia CCM kwa kura nyingi.4.Mpaka sasa amelazwa nyumbani baada ya kutoka India kwenye matibabu.5.Ntukamazina hawezi kusimama,wala kutembea6.Hataweza kwenda bungeni kutokana na ugonjwa wa kiharusi unaomsumbua.7.Wana Ngara wamepata mbunge makini LAKINI hatawawakilisha BungeniMengine yatafuata baada ya kujibiwa hayo
The Following User Says Thank You to dotto For This Useful Post:Chama gani??