Deodatus Balile

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Huyu jamaa alikuwa chief editor wa pale new habari corporation baada ya kuondoka zamani tanzania daima, wengi wanamfahamu kwa uandishi wake uliojaa utata mkubwa kimaudhui, nauliza siku hizi yupo wapi sababu naona new habari corporation kuna chief editor mpya, au ndo yale maneno ya utamu wa jojo( buble gum) ukiisha inatemwa:A S 465::A S 465:
 
Great Thinkers Tunaanza Kujadili Watu!!! Duh Hii Kali!! Maisha Ni karata na Inategemea Mtu anavyoicheza!!
 
Huyu jamaa alikuwa chief editor wa pale new habari corporation baada ya kuondoka zamani tanzania daima, wengi wanamfahamu kwa uandishi wake uliojaa utata mkubwa kimaudhui, nauliza siku hizi yupo wapi sababu naona new habari corporation kuna chief editor mpya, au ndo yale maneno ya utamu wa jojo( buble gum) ukiisha inatemwa:A S 465::A S 465:

Mbona alikwisema humu JF kwamba anaanzisha gazeti la JAMHURI
 
Huyu jamaa alikuwa chief editor wa pale new habari corporation baada ya kuondoka zamani tanzania daima, wengi wanamfahamu kwa uandishi wake uliojaa utata mkubwa kimaudhui, nauliza siku hizi yupo wapi sababu naona new habari corporation kuna chief editor mpya, au ndo yale maneno ya utamu wa jojo( buble gum) ukiisha inatemwa:A S 465::A S 465:

Usiwe mvivu wa kufikiri na kujishughulisha! Kuna uzi humu ulishawahi kueleza kuwa Balile na Manyerere wameenda kuanzisha gazeti jipya linaloitwa Jamhuri. Kalinunue mitaani linatoka once a week utaona makala zake humo. Kwakuwa umeshapata jibu close down this thread!
 
Back
Top Bottom