Kama kuna makosa walipaswa wakamatwe hao Wazungu wa Barrick. How do you arrest a mere employee who was discharging his daily routine and not his Boss who was instructing him to do so.TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa rais wa kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika na Alex Lugendo
Boss wa zamani wa ACACIA Deo Mwanyika (Vice president) jana alilala Lupango akihusishwa na tuhuma za rushwa alizofanya akiwa madarakani. Mwanyika amekamatwa jana pamoja na ofisa mmoja wa Serikali Mr Lugendo na kulala kituo cha polisi SURRENDER na leo atafikishwa Mahakama ya kisutu kusomewa...www.jamiiforums.com
Kawekwa mahabusu kwa fitna tu za Jiwe. Nchi hii haifuati utawala wa sheria, mtuhumiwa anakamatwa, anapelekwa rumande ndiyo uchunguzi unaanza na kutafuta makosa.
Ridiculous
Usimtukane usiyemjua, tusi linakurudia mwenyewe.Raia Wa kawaida ameweka uzi tangu 2014 mtu anakamatwa 2018 halafu kuna lise****nge linasema fitina
Usimtukane usiyemjua, tusi linakurudia mwenyewe.Raia Wa kawaida ameweka uzi tangu 2014 mtu anakamatwa 2018 halafu kuna lise****nge linasema fitina
Sio rahisi kihivyo,siku hizi kuna Intapol angekuja kukamatwa tu...leo deo yupo mahabusu mwaka unaisha,hela zote zile si angekimbilia kujificha south africa au marekani
Majungu hayajengi[emoji41][emoji41][emoji41]Fanyeni kazi acheni majungu!
mbona mnamshambulia mleta mada ......ila kama ni kweli huyo mwanyika ache adhulumu tu maana hata akifa ataacha kila kitu duniani.....
Wewe umekuja kiutetezi zaidi,huenda ndie deo mwenyewe.Mkuu nadhani huna ufahamu wowote kuhusu namna makampuni ya kibepari yanavyoendeshwa, tatizo kubwa la watanzania ni kujifanya wajuaji hata kwa mambo wasioyajua.
1. Byrnecut - Imepewa contract ya kufanya development (kufukua maeneo mapya kwa maendeleo ya mgodi) si kuuziwa.
Kumbuka wo ndiyo walioanzisha hiyo development mgodi ulipoanza.
2. "e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000" Hii ni claim ya kipuuzi kabisa kumbuka hiyo siyo posta au halmashauri ya wilaya Kilindi.
3. Mil. 33 (USD 20,000) kama mshahara kwa taarifa yako kuna watanzania kibao siku hizi wanalipwa that much na wala hawakumtapeli au kumdhulumu mtu yeyote.
Tuweni siriaz jamani taifa linaangamia halafu watu wanaleta stori za kufikirika.
Kazi ya mwanyika ina ufanisi upi?Wewe nawe mburula mwenzie ndio umeelewa kisichoeleweka alichoandika huyo mwanaharakati uchwara anayefikiri kuwa Mwanyika ndio mwenye maamuzi ya mwisho katika menejimenti ya Barrick!! Angekuwa mwanaharakati makini angekuwa conversant na corporate governance hivyo asingekuja na ujinga huu!! Anadhani mshahara wa $20,000 kwa mwezi ni hela nyingi sana kwa dunia ya leo!! Mshahara hautolewi kama bahashishi bali unaendana na ufanisi [ productivity] ya kazi ya mtu!!
Hakuna jipya kwenye mkataba wa Twiga na Barrick. Haya sasa Jiwe waachie Watanzania wenzetu uliowaweka rumande bila makosa waje wajenge nchi.Ni rais wa Barrick Africa,mtanzania mwenzetu,amenunuliwa na kampuni hii ya kitapeli duniani,ndiye hawa matapeli Barrick wanamtumia kuwatesa watanzania na kudhulumu haki zao.
Mshahara wa Mwanyika kwa mwezi ni TSh 33,000,000 na huo ni nje ya marupurupu, kazi kubwa ya Mwanyika ni propaganda dhidi ya Barrick na serikali,anatumiwa na baadhi ya wakubwa wa Barrick kama CEO kuficha ukweli,e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000 inayobaki anakula Mwanyika na CEO wake Gordon.
Hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay, sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula Mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka Sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.
Dah mpaka leo?Boss yuko Ndani mpaka sahv
Jamaa kwenye Maisha yake hakutegemea kama iko siku ataionja lupango
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app