Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Kwa kili yako ..na maelezo ya kijinga ni km unatuambia kwa vile mabenki kuna wizi basi kwa vile kuna makundi ya watu hawakosekani ktk mabenk then ni wezi....?Sasa utatuambia wafanyakazi wa benk ni wezi,wateja wenye kuingiza hela na hivyo kutumia huduma za bank ni wezi....palipo na hela kuna wezi wa kila namna..rangi,kabila etc.....na ndipo watu wanapenda fanyia kazi zao ili wawe na share kubwa ya huo mzunguko wa hela..wachaga hela inawapenda kwanini wasiwepeo wanapopendwa..?

na ujambazi unawapenda pia
 
mkuu tunajua inakuuma na saccos yenu inajiifia. kwa taarifa yako, ikitokea kwa upande mmoja kuna mgombea wa chadema na upande mwengine kuna nzi, basi kura yangu nitaipigia nzi.
Unapenda jidanganya....unajua saccos za wachaga wewe pimbi wanakpeshana kiasi gani?Endelea kuita vyama vya kisiasa saccos ili ujidanganye zaidi.Ni wewe mwenyewe ndiye uliyebaki ukijiaminisha uongo ulioshindwa danganya watanzania.
 
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?

kwani ulikuwa hufahamu hiyo ni sacoss ya Wachaga, chadema maana yake kwa kichaga ni chagazi teritory, na ni wanafiki na wezi kinoma.
 
huwezi zuia mchaga kukamata pesa,hela ni ya mchaga na pesa inafuata pesa. are you a man or a woman. tuma namba yako nikutumie pesa najua njaa inakusumbua
 
na ujambazi unawapenda pia
Kwani ukiwapenda wewe unaumia nini?Si kuna mahakama,polisi na vikosi vingine vya ulinzi?Km hampo competente huku mnajipa kazi wenyewe na kuwanyima wachaa kikabila..kwani wasiwaumize roho kwa kwenda upande mwingine..sansana ni proof tuu uwa hata kazi za upolisi mlpowapa kaina kova..ni upendeleo ndio maana hawawezi kazi.
 
Henry kilewo ni katibu kanda ya dar es salam wa DAR toka mwanga na sio mwenyekiti, mwenyekiti bavicha ni mkuryia wa Tarime, na katibu wake ni Deo ni wa Dar toka moshi

Mallya ni simanjiro

Haya editi sasa thread yako uliza swali sasa, kama hoja ya ukabila hapo hakuna na imechuja sasa hapo kuna (mkurya, mmasai, mchaga)

john mally ni mchaga na si mmasai haya edit nawewe
 
wachaga wanaongoza kwa ubaguzi

Wanaongoza pia kwa kuwa nyuma kielimu mkuu yaani wachaga hakuna kitu ndio wako kila mahali wakati elimu hawana ,chukulia mfano pale muhimbili,Tra,chuo kikuu cha dar,na hata sekta binafisi ndio usiseme ,
 
Abokaramo hana tofauti na yule mbwa anaejaribu kuichokoza nchi yetu(k.a.g.a.m.e)
 
Wanaongoza pia kwa kuwa nyuma kielimu mkuu yaani wachaga hakuna kitu ndio wako kila mahali wakati elimu hawana ,chukulia mfano pale muhimbili,Tra,chuo kikuu cha dar,na hata sekta binafisi ndio usiseme ,

mkuu hayo ndio jinsi ya kumjibu huyu taahira abakorakamo
 
Wanaongoza pia kwa kuwa nyuma kielimu mkuu yaani wachaga hakuna kitu ndio wako kila mahali wakati elimu hawana ,chukulia mfano pale muhimbili,Tra,chuo kikuu cha dar,na hata sekta binafisi ndio usiseme ,

na ufisadi pia wanaongoza
 
Wachaga na wahaya mtawaweza.. mnajisumbua.. wao ni kama maji.. usipoyaoga utayanywa.. hivi wa kwer e nao wanalalamika..?
 
acha kulialia we mtoto wa mama.. au umevimbiwa na pilau la pasaka

Sasa we muha.. unalalamika nini? kule kwetu kanyigo kuna shule ya sekondari imejengwa mwaka 1921.. wahaya kipindi hicho tunasoma nyie mnatoa funza miguuni.. sasa utawalalamikia wachaga wakati nao ni shule tu.. inawafanya wawe kila eneo..
 
unatafuta sifa za kijinga sana..njoo hapa bukoba club nikununulie supu ya samaki
 
Back
Top Bottom