Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
/wewa kama sio mzaramo basi ------.Unawaza kumtoa binti yako ngoma baaada ya kulipa ada shule ya kata.mi kyusa but i salute chagazi kwa effort yao ya kuleta mabadiliko ya nchi hii
 
/wewa kama sio mzaramo basi ------.Unawaza kumtoa binti yako ngoma baaada ya kulipa ada shule ya kata.mi kyusa but i salute chagazi kwa effort yao ya kuleta mabadiliko ya nchi hii
mabadiliko ya kutuibia? au unamaanisha nini? maana kila palipo na wizi huwezi mkosa.
halafu nani kakuambia mimi ni mzaramo a.k.a wapiga domo? mimi ni mchaga wa kishumundu! ebo!
 
Baada ya Ally Makwilo kuundiwa Zengwe jingi Ubungo na hatimaye kukimbilia CUF, nafasi yake imechukuliwa na Mzee Nkiya, na katibu wa Bavicha akawa Samky,,,wote wa kaskazini.
baada ya bwana Ally kuundiwa zengwe!!!!! hahaaa! chadema-saccos bhana! ni majanga kwa kweli.
 
unafanya propaganda zanjaa,umeishia wapi na Act Yako?Dr Slaa Kiboko Yenu,nani Alikuwa Anamjua Zzk Bila Ya Mbowe Na Slaa?Zzk Mwenyewe Anakubali,njaa Yako Itakufikisha Pabaya.
unachekesha. kabla ya 2005 nani alikuwa anamjua huyo slaa au huyo mbowe wako? jimbo la Zitto lilikuwa upinzani kabla hata ya hao akina slaa/mbowe wako hawajajulika. soma akina Dr. Walid Kaburu walikuwa tayari ni wabunge wa upinzani kupitia kigoma kaskazini. tatizo lako unakurupuka tu baada ya kulewa mbege. upuuzi kabisa.
halafu kwa taarifa yako sina chama, lakini kama leo kutakuwa na chadema-saccos upande mmoja na nzi upande mwengine basi kura yangu nitampigia nzi.
 
zitto alikuwa haepukiki kwani yeye na slaa ndo walioifikisha chadema hapo ilipoishia mwaka jana. sio hao akina lema waliokuta chadema tayari inafahamika wakitokea tlp/nccr. suala hapa ni ukweli mbele kama tai. we see. note;nazungumzia chadema chama ambacho kiliishia mwaka jana 2013 na sio hii chadema-saccos.
haha..na akina BOB makani na Mtei walifanya nini?
 
Baada ya Ally Makwilo kuundiwa Zengwe jingi Ubungo na hatimaye kukimbilia CUF, nafasi yake imechukuliwa na Mzee Nkiya, na katibu wa Bavicha akawa Samky,,,wote wa kaskazini.
sasa km walikimbia wanataka chama kibaki kimelala?kwanza km wehu wanaondoka ktk chama lazima usajili watu...sasa km kaskazini inaweza toa hao watu makini ..nani apoteze muda kuwasubiri mmalize kucheza bao..halfu mfundishwe..halafu mvumiliwe mizaha yenu..sijui mkamuulize jk kwanza,..sijui ccm ni imara haiwezo toka....
 
baada ya bwana Ally kuundiwa zengwe!!!!! hahaaa! chadema-saccos bhana! ni majanga kwa kweli.
Waswahili kwa kupenda vitu rahisi kudigest...ili wajichekeshe tuu kutwa..Ndizo habari mnzaozitamani sana.Ndio maana magazeti ya sani yalifanikiwa sana uswahili.....
 
mabadiliko ya kutuibia? au unamaanisha nini? maana kila palipo na wizi huwezi mkosa. halafu nani kakuambia mimi ni mzaramo a.k.a wapiga domo? mimi ni mchaga wa kishumundu! ebo!
HIvi masikini naye ana cha kuibiwa?Muibiwe nini sasa.baubui na wanawake wa kwenu,vikofia vya kukatia punga, mikeka michafu, vikopo vya chooni au..?
 
haha..na akina BOB makani na Mtei walifanya nini?
leo hii huwezi kusema Jemus mapalala anamchango mkubwa sana CUF pamoja na kuwa ni muasisi wa chama zaidi ya Maalim Seif au Prof Lipumba. nadhani nimekujibu swali lako.
 
Waswahili kwa kupenda vitu rahisi kudigest...ili wajichekeshe tuu kutwa..Ndizo habari mnzaozitamani sana.Ndio maana magazeti ya sani yalifanikiwa sana uswahili.....
mkuu tunajua inakuuma na saccos yenu inajiifia. kwa taarifa yako, ikitokea kwa upande mmoja kuna mgombea wa chadema na upande mwengine kuna nzi, basi kura yangu nitaipigia nzi.
 
HIvi masikini naye ana cha kuibiwa?Muibiwe nini sasa.baubui na wanawake wa kwenu,vikofia vya kukatia punga, mikeka michafu, vikopo vya chooni au..?
hapo kwenye red umenichekesha mpaka basi da! sijawahi kuifikiria hii kitu.
kwenye wizi hata kama hamtuibii majumbani hata kwenye serikali nyie ndo wezi wakubwa. kila penye wizi humkosekani. ndo maana hata Kikwete alipanza kuwapeleka akina mramba, mgonja na yona kwa kutuibia bil 12.2 tshs, kupitia alex and stewart mliungana kumpiga vita. huo ni uthibitisho tosha kuwa wezi lao ni moja. tuliona hata ile kesi ya BOT kweka alikuwa nyuma ya liyumba lakini mkafanya namna na akaachiwa na mahakama. jiangalie tena utakwenda kuchomwa moto.
 
HIvi masikini naye ana cha kuibiwa?Muibiwe nini sasa.baubui na wanawake wa kwenu,vikofia vya kukatia punga, mikeka michafu, vikopo vya chooni au..?

Una maneno sana..... Unastahili kuvalishwa kanga ukaimbe na tarabu.
 
Kwani ni zambi nchi ikiongozwa na wachaga? kwani wachaga sio watz?
 
/wewa kama sio mzaramo basi ------.Unawaza kumtoa binti yako ngoma baaada ya kulipa ada shule ya kata.mi kyusa but i salute chagazi kwa effort yao ya kuleta mabadiliko ya nchi hii
Haha....ndio waswahili.Yupo mmoja namjua kauza nyumba sehemu posh dar...kwa kuchezesha mabinti km sita hivi ngoma,na alikuwa amestaafu..akauza numba,dalali akapiga naye hela zaidi ya kwake,na bado akadai mgao alioahidiwa..dalali akawa kapata mara mbili..ninavyoongea mzee yupo kimanzi....
 
Una maneno sana..... Unastahili kuvalishwa kanga ukaimbe na tarabu.
Aha....kwa hiyo waimba taarabu wote ni wavaa khanga ehe.....sasa kwanii mnakataa si mabingwa wa ushoga ....?
 
mabadiliko ya kutuibia? au unamaanisha nini? maana kila palipo na wizi huwezi mkosa. halafu nani kakuambia mimi ni mzaramo a.k.a wapiga domo? mimi ni mchaga wa kishumundu! ebo!
Kwa kili yako ..na maelezo ya kijinga ni km unatuambia kwa vile mabenki kuna wizi basi kwa vile kuna makundi ya watu hawakosekani ktk mabenk then ni wezi....?Sasa utatuambia wafanyakazi wa benk ni wezi,wateja wenye kuingiza hela na hivyo kutumia huduma za bank ni wezi....palipo na hela kuna wezi wa kila namna..rangi,kabila etc.....na ndipo watu wanapenda fanyia kazi zao ili wawe na share kubwa ya huo mzunguko wa hela..wachaga hela inawapenda kwanini wasiwepeo wanapopendwa..?
 
Haha....ndio waswahili.Yupo mmoja namjua kauza nyumba sehemu posh dar...kwa kuchezesha mabinti km sita hivi ngoma,na alikuwa amestaafu..akauza numba,dalali akapiga naye hela zaidi ya kwake,na bado akadai mgao alioahidiwa..dalali akawa kapata mara mbili..ninavyoongea mzee yupo kimanzi....

una akili za kitimoto
 
hapo kwenye red umenichekesha mpaka basi da! sijawahi kuifikiria hii kitu. kwenye wizi hata kama hamtuibii majumbani hata kwenye serikali nyie ndo wezi wakubwa. kila penye wizi humkosekani. ndo maana hata Kikwete alipanza kuwapeleka akina mramba, mgonja na yona kwa kutuibia bil 12.2 tshs, kupitia alex and stewart mliungana kumpiga vita. huo ni uthibitisho tosha kuwa wezi lao ni moja. tuliona hata ile kesi ya BOT kweka alikuwa nyuma ya liyumba lakini mkafanya namna na akaachiwa na mahakama. jiangalie tena utakwenda kuchomwa moto.
mchaga naapendwa na hala, na anaimiliki hela....pengine ungejiuliza kwanini mchaga hata ktk wizi anapiga kazi na kuwa na mafanikio kuliko waswazi..mjiulize shida yenu nini.
 
Back
Top Bottom