Deo Filikunjombe aliukataa unafiki wa CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Pamoja na kwamba ukiwa mwana ccm lazima uvae gamba la kijani.

Filikunjombe alikuwa na mawazo huru kitu ambacho kilimkwamisha kukubalika ndani ya CCM.

Wana Njombe walipata pigo sana kuondikewa na huyo kijana.

Ebu msikikizeni hapa jinsi alivyo wakatalia mawaziri.

 
Back
Top Bottom