mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,049
- 4,904
Wakuu, story ya kesi ya Ugaidi, kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake ni msiri wa Kingai ambaye ni Denis Urio!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!
Cha kushangaza, mpaka sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio.
Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo (Denis Urio), anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani?
Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii, na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!
Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!