Deni la VITA Tanzania na Uganda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deni la VITA Tanzania na Uganda.

Discussion in 'International Forum' started by Exaud J. Makyao, Jan 6, 2010.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wachambuzi wa masuala mbali mbali.
  Eti Uganda ililipa Tanzania kiasi cha Dolla MILLIONI 67 kama deni la vita kati ya Uganda na Tanzania?
  Je kama ni kweli, pesa zilipokelewa na nani?
  Je pesa hizo ni halali?
  Kwani hiyo vita ilihijaka kulipwa?
  Je pesa hizo kama zilipokelewa ziko wapi?
  Kuna ukweli katika madai haya?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Mi ndio nasikia leo,
  je ni nani aliamuru uganda iilipe tanzania?
   
 3. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ninadhani katika kipindi cha kaka ben tulipokudwa tunaidai uganda nao uwezo wao haukuwa mzuri na waliomba wasamehewe baadhi ya madeni yaliyotolewa kwao na jumuia ya kimataifa na wakati huo huo nasi tulikuwa tunaomba msamaha wa madeni kutoka jumuia hizo nadhani baadhi ya masharti tuliyopewa ili tupate misamaha hiyo nasi tusamehe madeni yetu kwa uganda kwani nao hawakua na uwezo wa kulipa.[menye kufahamu zaidi anaweza kutuelimisha juu ya hili]
   
 4. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
 5. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Abunwasi,
  Nimekupata mkuu.
  Tusubiri kama kuna dira zaidi.
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Jan 6, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mkuu Exaud J. Makyao,

  hio hela kibao sana aisee. Kama walipewa wakulu basi iliishia
  wapi?

  ..kuhusu kulipana wakati wa vita, it happens. Unakumbuka baada ya WWI
  ujerumani walimbiwa walipe hela kibao maana they were the insitgators of
  the war na walishindwa. Kwa hivyo its possible waliambiwa walipe lakini
  kama ombi lilitimizwa we dont know.

  mwenye data zaidi tafadhali tunaomba.
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Jan 6, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ...Safi sana mkuu.
   
 8. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  AB-T,
  Ukweli ni upi?
   
 9. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Pesa hiyo bado haijalipwa, nakumbuka nilisoma magazeti ya Uganda mwaka juzi wabunge wao walikuwa wanajadili hilo suala la deni la vita.
   
 10. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo Tanzania italipwa?
   
 11. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #11
  Jan 6, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Nimepekua makabrasha na nimekuta hii ishu...

  UGANDA PAYS TANZANIA $67 MILLION FOR AMIN WAR DEBT

  DAILY MONITOR April 11, 2007

  Almost 28 years after the over thrown of Idi Amin one of Africa's famous dictators the country is still trying to shake off effects of his bad legacy. Amin's regime is accused of killing between 300,000 -500,000 Ugandans in his eighth year rule of terror. Amin fled to exile after his regime was overthrow on April 11, 1979 and died on august 16, 2003 in Jeddah Saudi Arabia after living 24 years in exile.

  Uganda has however cleared $67 MILLION debt owed to Tanzania for its part in helping in the overthrown of Idi Amin. The money was meant to cover Tanzanian property destroyed when Idi Amin government invaded Tanzania, cover equipment by Tanzania people's defense forces against Amin. According to Uganda debt network (UDN) several external debts were incurred in the war against Amin. $ 100 million was found to be owed to Libya for its part in helping Amin try to beat off the successful Tanzania offensive and $35 million to Yugoslavia. However UDN feels the money to Tanzania should not been paid because this debt was contacted by liberation groups not recognized law and they were waging a war against a legitimate Uganda government at the time.

  That said Ugandans will never forget the sacrifice and solidarity of the people of Tanzania in helping to overthrow the government of Amin.

  Sasa wakulu waseme hii hela iko wapi ama ilitumika kivipi.
   
 12. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  AB-T,
  Hongera kwa kuibua DATA hizi,.
  Wachambuzi wanasemaje?
   
 13. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Hakuna issue hapo hiyo pesa ililipwa zamani sana. Mlikuwa wapi?
   
 14. M

  Myamba Senior Member

  #14
  Jan 6, 2010
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata mimi naelewa kuwa deni hilo halikulipwa na Uganda kwani walikataa kulilipa! Nilitonywa habari hii na mtu wa BOT. Wanaweza kutufahamisha zaidi juu ya habari hii muhimu.
   
 15. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  swala la kulipwa ni la kawaida,sheria za kimataifa ziko wazi kuhusu madeni,fidia,kati ya nchi zilizokuwa maadui, au nchi kama ilisaidia nyingine katika vita husika. La msingi ni je, hzo pesa zimelipwa?na kama ni ndiyo zipo kumbukumbu kuhusu matumizi yake?
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  usiulize matumizi, unaweza kupata kichefu chefu pengine ndizo zilizotumika kujenga nyumba ya gavana.
   
 17. O

  Omega.Omega Member

  #17
  Jan 7, 2010
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli?
  Zilipokelewa Pesa?
  Dr Slaa fuatilia hili kama lile la EPA>
   
Loading...