Deni la taifa

KATATANAMA

Member
Feb 15, 2012
63
6
Salaam. Jana nilisikitishwa na taarifa iliyotolewa juu ya kuongezeka kwa deni la Taifa kwa asilimia thelathini na nane [38%] toka mwaka wa fedha 2009/2010 hadi 2011/2012. Je kwa kasi hii ya kukopa tumefanya nini cha maana? Naomba kuwasilisha.
Source: Taarifa ya habari ya Radio One.
 
Back
Top Bottom