Deni la Taifa (Tanganyika na Zanzibar)

Deni la Taifa (Tanganyika na Zanzibar)

Daraja2

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
285
Reaction score
346
Habari watanzania wenzangu,

Jioni ya leo ningependa tujadili suala hili la deni letu kwa heshima,unyenyekevu,busara na hekima tulizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu (mwingi wa rehma mwenye kurehemu).

Kwanza napenda kuipongeza serikali yetu kwa kuliweka wazi kwetu sote.
USHAURI WANGU.

1. Uandaliwe mkeka maalumu wa Taifa ili Kila Mmoja aweze kulipa deni lake kikamilifu bila kificho (1.7m)
2. Serikali iiombe Bank ya Dunia itutengenezee A/c maalumu kwa ajili ya malipo ya deni la Tanzania.

MAELEZO MUHIMU.
1.Mtu akilipa deni jina lake lijitokeze mara Moja kwa umma wa Watanzania.

Wataalamu wa mambo ya fedha wapendekeze hata malipo ya kidogo kidogo kuanzia 10,000 na kuendelea kwa Tshs. Kama itawezekana mbali na Dola.

2.Tuwekeane muda maalumu ikiwezekana miezi 18 kuanzia makubaliano yatakapokubalika kwa mchakato kuanza.

3.Tukubaliane kwa ujumla hakuna kukopa Tena kuanzia Sasa.

4.Baada ya deni kuisha Kama Taifa itungwe Sheria mpya namna bora ya kukopa Kama itahitajika kwa kushirikisha Watanzania wote.

MWISHO KABISA INGAWA SI KWA UMUHIMU.

Nipo tayari kumlipia Mtanzania mwenzangu Mmoja.

Ahsanteni.
 
Ujue huo mgawanyo umehesabu mpaka mataahira! Wewe nyumbani kwako una watoto 10 itaweza kulilipa hilo deni?
 
Mkuu ila mlisema hizo hela za mama au
 
Back
Top Bottom