Deni la Taifa lazidi kupaa juu kileleni

Deni la Taifa lazidi kupaa juu kileleni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,707
Reaction score
272,607
FB_IMG_1559560786987.jpg

Taarifa kutoka bungeni Dodoma zinaonyesha kwamba deni la Taifa linazidi kusonga mbele kwa kasi kubwa , Waziri wa fedha Dr Mpango ameliambia bunge kwamba kwa sasa Tanzania inadaiwa Trilioni 51.03 kutoka Trilioni 49.86 za April 2018 , ambapo kiasi hicho kimetajwa kuongezeka kwa Trilioni 2.35

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba gharama ya madeni ya ndani pekee inafikia Trilioni 13.25 huku kimbembe cha madeni ya nje ( madeni ya mabeberu ) kikiwa ni Trilioni 37.78

Mungu ibariki Tanzania .
 
View attachment 1116251

Taarifa kutoka bungeni Dodoma zinaonyesha kwamba deni la Taifa linazidi kusonga mbele kwa kasi kubwa , Waziri wa fedha Dr Mpango ameliambia bunge kwamba kwa sasa Tanzania inadaiwa Trilioni 51.03 kutoka Trilioni 49.86 za April 2018 , ambapo kiasi hicho kimetajwa kuongezeka kwa Trilioni 2.35

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba gharama ya madeni ya ndani pekee inafikia Trilioni 13.25 huku kimbembe cha madeni ya nje kikiwa ni Trilioni 37.78

Mungu ibariki Tanzania .
hilo linapaa, chiiiiiiii!!
 
Tusiogope kukopa. Barick na mwanaye Accasia tunawadai tril 400+ wakitulipa tutawalipa hao wadeni wetu. Serikali ikope hadi ifike tri 400 ndiyo iache kukopa
 
Back
Top Bottom