Deni la Taifa lazidi kupaa juu kileleni

Deni la Taifa lazidi kupaa juu kileleni

View attachment 1116251

Taarifa kutoka bungeni Dodoma zinaonyesha kwamba deni la Taifa linazidi kusonga mbele kwa kasi kubwa , Waziri wa fedha Dr Mpango ameliambia bunge kwamba kwa sasa Tanzania inadaiwa Trilioni 51.03 kutoka Trilioni 49.86 za April 2018 , ambapo kiasi hicho kimetajwa kuongezeka kwa Trilioni 2.35

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba gharama ya madeni ya ndani pekee inafikia Trilioni 13.25 huku kimbembe cha madeni ya nje kikiwa ni Trilioni 37.78

Mungu ibariki Tanzania .
Litabaki kuwa Juu Mawinguni,,
 
Kukopa sio shida ila shida ni unakopa ili ufanyie kitu gani. Hela yote hiyo tumekopa lkn bado mambo mengi mno ya msingi hayajafanyika..!!

Watoto wanaostahili kupewa mikopo elimu ya juu hawapewi, huduma za afya ni hovyo, maeneo karibu yote yanategemea maji ya mvua na umeme ni wa kupima.

Wakati huo huo, kuna miradi imeanzishwa ya kutafutia tu kicks na kimsingi ndio inapaisha deni huku fedha nyingi zikitumiwa kujaribu kuua upinzani kitu ambacho imeshathibitika kuwa ni "The Fool's Errand".
 
Kuna baadhi ya wabunge walinunuliwa hadi mil 800 na kulipiwa mkopo wa hadi mil 600 , jumlisha na madiwani kwa mamia .
 
Hivi inawezekana deni likawa zaidi ya hilo,mfano trilion 80 ila tukafichwa???
 
Zile tunazo gawa mitaani kwa maburungutu unadhani zimetoka wapi?
 
View attachment 1116251

Taarifa kutoka bungeni Dodoma zinaonyesha kwamba deni la Taifa linazidi kusonga mbele kwa kasi kubwa , Waziri wa fedha Dr Mpango ameliambia bunge kwamba kwa sasa Tanzania inadaiwa Trilioni 51.03 kutoka Trilioni 49.86 za April 2018 , ambapo kiasi hicho kimetajwa kuongezeka kwa Trilioni 2.35

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba gharama ya madeni ya ndani pekee inafikia Trilioni 13.25 huku kimbembe cha madeni ya nje kikiwa ni Trilioni 37.78

Mungu ibariki Tanzania .

Sasa ndo wanataka kulipa hayo madeni kwa kutoajiri watu na kutowaongezea mishahara au ndiyo hii ya vitambulisho vya Rais?
 
Back
Top Bottom