Blandes
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 406
- 236
Jaman mi naisi nchi hii ni yetu sote tunapaswa kujadili namna ya kujikwamua ktk hali hi ya uchumi ktk deni ili,uku jamii f kuna wachumi wengi Sana ila tatzo ni kupewa nafas ya kusikilizwa,tatzo la nchi za kiafrica zimejaa unafiki mwingi wa kutotaka kusikia ukwelo