Deni la Taifa lazidi kupaa juu kileleni

Deni la Taifa lazidi kupaa juu kileleni

Madeni yatabaki kileleniiiii!!!
Madeni yatabaki kuwa juuuu!!!!
Magufuli oyoooo!!!!
Sioni kama ni shida maana pesa inaonekana kutokana na vitu vinavyoendelea kufanyika. Ingekuwa ni kipindi kile cha RichardMondul hapo ingetushitua. Lakini kwa hili hata wajukuu zetu wakiwa wanalipa watasema kweli pesa ilifanyia mambo ya msingi. Hata akiacha deni limefikia asilimia 10000000000 sawa tu. As long ndoto ya baba wa Taifa itimie.
 
Si mlisema mnatumia fedha za ndani mkuu , sasa hizo za kukopa imekuwaje tena ?
 
Mimi sijui regression wala hesabu lakini naona ongezeko la 2.35 trillioni kwa mwezi. Ina maana kwa mwendo huu December 2019 zitaongezeka 14.1 trillion na kufanya jumla kuwa 65.13 trillion!
Hivi si wataalamu wanasema ukubwa wa deni ndio ukubwa wa uchumi wa uchumi pia!?
 
Wakati mwingine unaweza kukuta hiyo inayoongezeka ni kutokana na interest ya deni lililokuwepo siku nyingi sana, siyo lazima kuwe na mkopo mwingine mpya. Ongezeko la hilo la 2.35 trilioni kwa mwaka (siyo kwa mwezi) ni roughly APR ya 2.4% ambayo unaweza kuwa ni chini ya riba kamili ya deni la taifa.
 
Sioni kama ni shida maana pesa inaonekana kutokana na vitu vinavyoendelea kufanyika. Ingekuwa ni kipindi kile cha RichardMondul hapo ingetushitua. Lakini kwa hili hata wajukuu zetu wakiwa wanalipa watasema kweli pesa ilifanyia mambo ya msingi. Hata akiacha deni limefikia asilimia 10000000000 sawa tu. As long ndoto ya baba wa Taifa itimie.
Sio deni la Taifa ni deni la ccm jipangeni kulilipa mali za chama pendwa nyumba zenu kila kitu adi simu wekeni mnadani viuzwe mlipe deni msitutanie.
 
View attachment 1116251

Taarifa kutoka bungeni Dodoma zinaonyesha kwamba deni la Taifa linazidi kusonga mbele kwa kasi kubwa , Waziri wa fedha Dr Mpango ameliambia bunge kwamba kwa sasa Tanzania inadaiwa Trilioni 51.03 kutoka Trilioni 49.86 za April 2018 , ambapo kiasi hicho kimetajwa kuongezeka kwa Trilioni 2.35

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba gharama ya madeni ya ndani pekee inafikia Trilioni 13.25 huku kimbembe cha madeni ya nje ( madeni ya mabeberu ) kikiwa ni Trilioni 37.78

Mungu ibariki Tanzania .
Inaitwa kusimamia ukucha
 
Hivi inawezekana deni likawa zaidi ya hilo,mfano trilion 80 ila tukafichwa???
Si ajabu, Sheria ya takwimu inawalinda kusema chochote. Kumbuka wanasema uchumi unakua kwa asilimia 7; IMF wamefanya analysis wakapata Ni asilimia 4 tu; ajabu wakamleta mbongo mwenzao toka ADB aulinde uongo wao!!!!
 
Aiseee !
 
Deni letu litabaki kuwa kileleni... Kama konki[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji44]
 
Back
Top Bottom