Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,099
- 43,313
Kanuni ya kawaida kabisa ya uchumi (ambayo hata Obama juzi ameigusia) ni kuwa "huwezi kutumia zaidi ya unavyoingiza". Nyambala asante kwa kulileta hili kwani nami jana na Rev. Kishoka tumekaa karibu one hour tukilizungumzia hili na kufikiria ni jinsi gani tunaweza kulimulika vizuri ili watu wajue hatari iliyopo mbele yetu. Mambo kama ya Ugiriki, Spain, Ureno na hata Tunisia yanaweza kabisa kutokea Tanzania. Lakini nilijenga hoja kubwa mbili kwanini hili bomu kwetu litachelewa kulipuka kwa sababu kuna cushions mbili kubwa sana zinazozuia a full impact kwa maisha ya wananchi (inflation, higher unemployment etc).
a. Ni foreign aid. Hawa jamaa ndio wameweka drip kwenye veins za serikali.. ni kama mgonjwa anayeharisha anapoteza a lot of fluids na wanamuongezea fluids angalau aendelee kuvuta vuta uhai kidogo. Misaada ya kigeni imesaidia sana kupunguza makali ya deni hili la taifa na matokeo yake.
b. Corruption. Ninaamini ufisadi in all its forms has become part of our economy kiasi kwamba tukiamua kuingiza kwenye vitabu vya serikali unaweza ukakuta kuwa ni source kubwa sana ya income ya kitaifa. Fikiria kwa mfano, mtu anaiba shilingi milioni 500 anafanikiwa kuanzisha biashara (hoteli n.k); hiyo biashara inaenda na kuajiri watu na within few years return yake inakaribia shilingi bilioni 1 kwa mwaka! hela ambazo zinalipiwa kodi ( i hope) na kuingizwa katika shughuli nyingine za kiuchumi.
Siyo katika level hiyo kubwa tu lakini hata kwenye level ya chini kabisa. Mtu anafanikiwa kupata shilingi milioni moja ya ziada kwa corruption. Anatumia kujianzishia kimradi na kile kimradi kinaanza kujilipa na ndani ya mwaka anaanza kupata zaidi ya shilingi milioni mbili (minimum) kama kafaida ambazo analipia kodi au anaanza kuzizungusha kwenye biashra nyingine. Sasa utaona kuwa japo kwenye makaratasi hali inaonekana ni mbaya sana lakini kihalisia bado haijawa mbaya vya kutosha kwa sababu kuna hizi kushions.
NInaamini kama Chadema ingeingia madarakani na kushughulikia haya mawili uchumi ungetakiwa kujisahihisha, matokeo yake ingebidi tuchukue austerity measures ambazo kwa hakika in a short term zingekuwa ni ngumu sana kwa mwananchi wa kawaida kwani ingekuwa ni kujaribu kulazimisha serikali iishi "within its means" na watu vile vile nao waanze kweli kutumia "kipato" chao halali kwa maisha. Hapa pangekuwa pagumu. So, njia nyepesi ndiyo inatumika.