king kunta j
Senior Member
- Jul 21, 2021
- 124
- 87
- Thread starter
- #61
Kweli mzee nilikuwa nafurahia lakini si ilitakiwa wachukue walichonipa hata Kama Kuna riba si kuwepo na utaratibu sahihi wakuchukua hela yaoMkuu leo hii unaona shubiri wakat enzi zile chuon ukiitwa kwa dean office au kwa Burser ulikuwa unashangikia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hao inabidi uwaendee pale ofisi kwao uka verify mzee la sivyo watakukamua ushangae