king kunta j
Senior Member
- Jul 21, 2021
- 124
- 87
Wasalam..
Ninashindwa elewa jinsi Bodi ya Mikopo inavyofanya kazi kwenye madeni yetu salary slip yangu ya January deni lilibaki 985,300 nimetoka angalia la mwezi huu limepanda mpaka 1,877,000.
Hivi Ni Nini kwanini hili deni limekuwa tatizo sana mwengine alitupandishia makato nje ya mkataba huyu naye anapandisha deni bila taarifa