Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,400
- 7,254
Limepanda kwa kiasi ganiMimi imepanda kotekote
Limepanda kwa kiasi ganiMimi imepanda kotekote
Ukilogin kwenye homepage utaona statement yakoHivi unachekije kwa website yao? Nilijaribu kucheki nikaambiwa ntatumiwa within 48hrs ila sikuona chochote. Msaada please
DoubleLimepanda kwa kiasi gani
Nachojua mm deni lilipungua baada ya kuondoa value retention fee..sasa huko kupanda kwanini kipande..ilipaswa kufuatiliaMkuu limepanda kote kote nilishaangalia toka mwaka Jana kwenye website yao
Mmmh...mbona hatari..mwezi huu naona bado hawaja update statusDouble
Laki Tisa mpaka milioni na laki nane na natoka angalia taarifa za mwezi wa 2 walipandisha mpaka milioni 2Limepanda kwa kiasi gani
Laki Tisa mpaka milioni na laki nane na natoka angalia taarifa za mwezi wa 2 walipandisha mpaka milioni 2Limepanda kwa kiasi gani
Hiyo ni abnormal mkuu..wapandie ofisini kwao..huenda Kuna mtu anakuchezeaLaki Tisa mpaka milioni na laki nane na natoka angalia taarifa za mwezi wa 2 walipandisha mpaka milioni 2
Ujue Kuna kitu hakipo sawa mfano Mimi na wenzangu ambao tulianza kukatwa toka 2015 madeni yamepanda pamoja na adhari ya retention fees na mengineyo lakini walionza kukatwa 2019 -2021 deni limepungua na sisemi uongo nimeona kwa macho yanguNachojua mm deni lilipungua baada ya kuondoa value retention fee..sasa huko kupanda kwanini kipande..ilipaswa kufuatilia
Walikuambia kwanini limepanda...je ulieaonyesha previous deni lilikuaje?Nilienda HESLB kuomba statement...nilipewa Ila deni ni lilelile nilipojaribu kuhoji yaani maelezo Yao huwezi kuelewa...
Kwa iyo umechukua hatua gani chief?Nilivyo enda kumbe watu wengi Sana wamefanyiwa huu mchezo...
Jamaa kama hayakuhusu pita kushotowasomi wanalalamika hapa napiitia tu comments sasa huko vyyuoni mmesoma nn jmn, kama shida kama iz mnashindwa kuzitatua vp mtaweza leta maendeleo
Yani mtu anazungumza bila kujua watu wanapitia Nini bodi Ni wasumbufu sana tunakosa namna tunatumia platform Kama hii kwa kuwa tunajua inawigo mpanaJamaa kama hayakuhusu pita kushoto
Ingia kwenye portal ya HESLB uchek na kwenyewe deni ni shilingi ngapiWasalam..
Ninashindwa elewa jinsi Bodi ya Mikopo inavyofanya kazi kwenye madeni yetu salary slip yangu ya January deni lilibaki 985,300 nimetoka angalia la mwezi huu limepanda mpaka 1,877,000.
Hivi Ni Nini kwanini hili deni limekuwa tatizo sana mwengine alitupandishia makato nje ya mkataba huyu naye anapandisha deni bila taarifa
Motivational speaker banawasomi wanalalamika hapa napiitia tu comments sasa huko vyyuoni mmesoma nn jmn, kama shida kama iz mnashindwa kuzitatua vp mtaweza leta maendeleo
Hipo sawaIngia kwenye portal ya HESLB uchek na kwenyewe deni ni shilingi ngapi