Hata hilo deni hawajanipunguzia chochote kwa mwezi huu, kuna jamaa wa bodi ya mkopo ndio niliwasiana nae, ameniambia kesho atalifanyia kaziKuna namna ya kucheki deni halisi ktk website yao.
Hata hilo deni hawajanipunguzia chochote kwa mwezi huu, kuna jamaa wa bodi ya mkopo ndio niliwasiana nae, ameniambia kesho atalifanyia kaziKuna namna ya kucheki deni halisi ktk website yao.
Ndio mkuu
Mkopo niliobakiza ni 2500,000/=nimekatwa makato matatu kwa kiasi cha 141,400 lakini deni linasoma 2420,000/=
Yani umebaki na deni la 985,300 unakomaa nalo unataka ugundue ni I deni la bodi ya mkopo elimu ya juu si la kukaq nalo maana hawaheshimu sheria ya mikataba wao wakiamua wanafanya Chochote kile ushauri liuze Hilo deni Bora ukope upate hata laki moja ila deni litoke nikononi mwa bodi ya mkopo elimu ya juuWasalam..
Ninashindwa elewa jinsi Bodi ya Mikopo inavyofanya kazi kwenye madeni yetu salary slip yangu ya January deni lilibaki 985,300 nimetoka angalia la mwezi huu limepanda mpaka 1,877,000.
Hivi Ni Nini kwanini hili deni limekuwa tatizo sana mwengine alitupandishia makato nje ya mkataba huyu naye anapandisha deni bila taarifa
Na mwakani wakipandisha deni,mtihani kwa ndugu yetu...Lengo wakuue presha.
Financial servicesHivi unachekije kwa website yao? Nilijaribu kucheki nikaambiwa ntatumiwa within 48hrs ila sikuona chochote. Msaada please
Sijui wenzetu wanachekije watusaidieFinancial services
Niliomba mwaka jana
The same Feedback I get
Kibaya ambacho hakina afya ukiwapigia simuSijui wenzetu wanachekije watusaidie
Niliapa sitakuja kulipa Deni la HESLB mpaka naingia kaburini,waliwahi kuja ofisini nikawatoa nduki kwamba sijawahi kukopeshwa na Bodi na hawakurudi tena,niliwaruka kimangaWasalam..
Ninashindwa elewa jinsi Bodi ya Mikopo inavyofanya kazi kwenye madeni yetu salary slip yangu ya January deni lilibaki 985,300 nimetoka angalia la mwezi huu limepanda mpaka 1,877,000.
Hivi Ni Nini kwanini hili deni limekuwa tatizo sana mwengine alitupandishia makato nje ya mkataba huyu naye anapandisha deni bila taarifa
Kuna vitu vinaumiza sana..hata Mimi nimekuta limepanda kotekote..na nilikuwa almost kumaliza deni ..yaani HESLB inabidi ilitolee ufafanuzi jambo hili la kupandisha deni kinyemela..
Nisaidie mawasiliano ya uyo jamaa nduguHata hilo deni hawajanipunguzia chochote kwa mwezi huu, kuna jamaa wa bodi ya mkopo ndio niliwasiana nae, ameniambia kesho atalifanyia kazi
Achana na salary sleep...ingia kwenye website ya bodi...kule ndo inaonyesha deni halisiWasalam..
Ninashindwa elewa jinsi Bodi ya Mikopo inavyofanya kazi kwenye madeni yetu salary slip yangu ya January deni lilibaki 985,300 nimetoka angalia la mwezi huu limepanda mpaka 1,877,000.
Hivi Ni Nini kwanini hili deni limekuwa tatizo sana mwengine alitupandishia makato nje ya mkataba huyu naye anapandisha deni bila taarifa
Limepanda kwa kiasi gani..hata Mimi nimekuta limepanda kotekote..na nilikuwa almost kumaliza deni ..yaani HESLB inabidi ilitolee ufafanuzi jambo hili la kupandisha deni kinyemela..
Mkuu limepanda kote kote nilishaangalia toka mwaka Jana kwenye website yaoAchana na salary sleep...ingia kwenye website ya bodi...kule ndo inaonyesha deni halisi