Deni kwa baba mkwe linanisumbua kiasi

Deni kwa baba mkwe linanisumbua kiasi

Nafikiri Wengi Wamekwambia, Ila Kudai Noti Nane, Tena Kwa Ba' Mkwe,. Mwanae Unamgaragaza Kila Siku Mpaka Umemvimbisha Tumbo, Then Unadai (Misimbazi 8) Mwanaume Umetisha...!

Hahahahaaa eti anamgaragaza kila siku 😀 😛
 
Utakua mshamba na hujui mapenzi kabisa ... mkeo anajisikiaje unapomsema baba yake? 80000 ni ndogo sana kumdai mzaa chema.... kwani ulikua unahemea chakula wakati akiwa huko kwao?
 
Back
Top Bottom