Dena Amsi Banned!

Bia za samaki samaki siziwezi yaani 2 in 1
Taarifa za kintelijinsia zinasema kaomba BAN huyu kiumbe

Nashukuru, lakini taarifa za kiintelijensia bongo huwa zinachakachuliwa pia! hope you are right... atakuwa hajatutendea haki.. without goodbye!
 
Hivi huyu ni Dena Amsi au ni Dena mwingine.
Hebu Elia tuambie, hiyo process ya Ban imeanzia wapi.

Huyo huyo Dena Amsi kipenzi cha wengi, nilikuwa shocked sababu mida ya saa nne alikuwa live tano kasoro nikaona BAN.. sijajua iliko anzia mydear, that why ninaomba nipatiwe source ya kilichomsibu, she seemed to be happy at that time...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom