The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Desidii mzima wewe usipotee sanaKwanini umesema hivyo
Desidii mzima wewe usipotee sanaKwanini umesema hivyo
Tuntu jambo kabicha leo mimi iko musuri kabisa, dena iko fanya nini tena??Jambo mkuu!
Gooosh!...
I cant believe this!
Huu purely ni MSIBA kwa JUKWAA LA MMU!
Thread hii itawakusanya members wote waaminifu wa JUKWAA LILE!...huh!
Labda amekula michango ya harambee l.o.l
Hebu tuletee hiyo original basi
Tuntu jambo kabicha leo mimi iko musuri kabisa, dena iko fanya nini tena??
Desidii mzima wewe usipotee sana
kaka huu msiba matanga hii sredi...
Mi ninawaamini moderators, I think she deserves it.
Desidii kuna watu wangekuwa MODS nafikiri hata kuandika neno CRAP mtu ungekuwa unapewa BAN:amen::first::whoo:
Kwanini umesema hivyo
Kama akiomba mbona huwa anasema mapema kabisa hii imetokea ghaflaNipo nasikia DA kaomba BAN
Desidii kuna watu wangekuwa MODS nafikiri hata kuandika neno CRAP mtu ungekuwa unapewa BAN
Hashy uko bien??
Hommie habari yake SAMAKIWengi huwa wanalalamika wameonewa nakumbuka jamaa angu Teamo anaweza zungumzia hili
Kama akiomba mbona huwa anasema mapema kabisa hii imetokea ghafla