Dena Amsi Banned!

shelii, papa hashy iko bien mi nataka mwaga faranga hapa jf ili ba mutu ya myuzisheni iniimbe.....l.o.l

nafurahika uko bien, kuimbwaka ntakuunganisha na Falii Ipupa juu hutamwaga mafranga wala dolari. Papaa hashy ba kilo, ekolomokate tembe nyeee!
 
Nisaidieni wakuu mimi toka niingie jf sijaweza kutuma thread nifanyeje?
Kama uko serious nitakutumia maelekezo kwenye PM...aU UNA maana hujawahi kutuma thread kwa DENA AMSI?..u never know na mambo ya naniliu bana!
Confirm kwa pm kama unataka msaada!
 
Kama uko serious nitakutumia maelekezo kwenye PM...aU UNA maana hujawahi kutuma thread kwa DENA AMSI?..u never know na mambo ya naniliu bana!
Confirm kwa pm kama unataka msaada!

Kweli hilo jibu ningekuwa nisingeuliza tena mara mbili
 
Imekuwaje kwa Dena?...... Me miss her bana....jamani MMU tuandamane...mpaka kieleweke...:decision::decision:
 
Hivi huyu ni Dena Amsi au ni Dena mwingine.
Hebu Elia tuambie, hiyo process ya Ban imeanzia wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom