Dena Amsi Banned!

Afadhali, ili akirudi apewe pole page 25 watu wajiongezee idadi ya post zisizo na tija.
 
Heee, what happened jamani?? jana tu alikuwepo , leo tena nasikia haya...duh. Pole rafiki DA
 
Rev Masa Kwaresma imekaribia kuna kundi la watu linataka kuja kutubu utakuwa unapatikana wapi??
 
Rev Masa Kwaresma imekaribia kuna kundi la watu linataka kuja kutubu utakuwa unapatikana wapi??

Kwa kweli nitakuwepo online! Unajua tena hizi technolojia.....isitoshe kwa mialiko maalumu nitakuwa nakutana na vikondoo kwa retreat
 
Rev Masa Kwaresma imekaribia kuna kundi la watu linataka kuja kutubu utakuwa unapatikana wapi??

Umenikumbusha Kwaresma rafiki, huwa napenda sana hiki kipindi. na kwa taarifa tu, usiponiona hicho kipindi ndo ujue nipo kwenye mfungo........ sitaomba BAN kama Dena. mi nataka nijue kabisa naruhusiwa kuchangia lakini najizuia (MFUNGO)
 
Aaaahhh jamani? No! no!no! Ntammiss sana juzi jana tu alikuwa busy na Kokudo.
Yaani ukisema hvyo ndo nahc kufa kbs jamani DENA AMSI bora hata wangeniban mie umefanya nini jamani umekua mpiganaji wangu mkubwa popote ulipo ntasimama kwa niaba yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom