Demu wangu mpya anatema cheche

Ni kweli kunabinadamu wameumbwa na hali kama hiyo.....wapo wengi tuu ata apige mswaki mara mia domo kunuka ushuzi wa bubu sikia....mdomoni sijui ila kwapa hilo awe analisugua kwa ndimu kila siku asubuhi mchana jioni au akama akiona shida awe anasugua usiku kabla ya kulala......kuhusu huko kwa bibi ni hivi ndio kuna ile harufu natural inayoleta nakshi na mwamko wa mpaenzi na kuna ile harufu inayotokana na mrundikano wa uchafu hummooo kwenye kishimo kile ANUNUE DETTO YA MAJI.......KISHA AKIENDA KUOGA AAAAH......tene achukue ndoo nzima ya maji achanganye na detto aende bafuni shughuli iwe moja kumuosha bibi tuu...... SHURTIIII KILE KIDOLE CHAKE CHA KATI KIINGIE KUNAKOO MACHINE AFANYE KAMA ANACHOKONOA taratibu akikitoa kidole kile kitakua na UTOKO mweupe ka mtindi ...aingize kidole na kutoa akioshe kidole ndo aingize tena kama mara 5...6...7...YANI Amake sure akiingiza kwa mara ya mwisho kidole chatoka bila UTOKO ULE.....akifanya hivo kila siku aaaaah kunani tena harufu itapungua mwisho itaisha kabisa na utaingia chumvini kwa raha zakooo ati.....MDOMO APIGE MSWAKI KUTWA KILA AKITOKA KULA NA AWE ANATUMIA MOUTH WASHER.MOUTH SPRAY NA BIG JII BAZOKA.......UTAFURAHIA MCHEZO.

eeh!huu ushauri ungemtumia kwa Pm.manake du..hope utawasaidia
 
hharufu ya mwili wa mtu inategemeana na mlo;
mwambie aache kula vyakula vy chumvi nyingi sana na badala yake ale matunda mengi, mboga mboga na maji kwa wingi.
pia nafikiri harufu ya kikwapa inaweza uondoshwa kwa kusugua kwa maganda ya ndimu kwenye kwapa na ngozi ya mwili baada ya kuoga.
 
Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.
Omba Mungu mbona simpo tu, hakuna lisilowezekana kwake,
 
Ili kumaliza tatizo lako anza kwanza kwenda kwa watoa ushauri nasaha wakushauri na baadaye mpeleke huyo demu wako kwa daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama.
 
Pole sana kaka,unajua nini kaka,
Kwanza mfundishe kuoga vizuri kuna mtu hapo juu kaelezea vizuri sana swala ya kujisafisha kwa kidole hado ahakikishe uchafu umeisha wote,
2.Mnunulie kama zawadi deodorant ya Shower to shower chagua ya rangi ya pink au blue hii ni sh.2500-3500 tu inategemea umenunua wapi.nakushauri hii maana ni alcohol free na hamkeri mtu hata wewe uliyekaa pembeni hauta kereka na hiyo harufu nzuri ya hii product ya shower to shower,
sasa wewe mnunulie kama 5 hivi atatumia muda mrefu hata yeye mwenyewe atajipenda na hata siku zikiisha atatafuta mwenyewe.
3.Mdomo mnunulie mouth wash kama mbili kama ulivyoshauriwa hapo juu,
Nakuambia fata ushauri huu then come back with the result baada ya miezi miwili
 
Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.

Nenda kamuone mtaalamu wa magonjwa ya kina mama!!!
 
Bujibuji...harufu za aina hiyo ni za kuzaliwa nakushauri ujipange upya....au kubali matokeo....
 
Yaani watu wengine bwana! Mtoto anakupenda halafu wewe unamnyanyapaa. Wewe humpendi mwanzako, vinginevo usingesikia hata hiyo harufu. Ukiona bado pua zinfanya kazi barabara basi ujue hujapenda wewe mtu! Changamka au achia ngazi.
 
Vicks katikati ya mdomo na pua itakusaidia. Nunua vikopo kadhaa, ukimuona tu, we pakaza haraka mambo yatakuwa shwari!

...Duh! Haya maushauri mengine unaweza kupoteza uhai hivi hivi...........Kaaazi kweli kweli
 
Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.

Mmh! hii hatari sasa atakuwa anaumwa siyo bure. Ndugu una moyo sana!
 
Ni kweli kunabinadamu wameumbwa na hali kama hiyo.....wapo wengi tuu ata apige mswaki mara mia domo kunuka ushuzi wa bubu sikia....mdomoni sijui ila kwapa hilo awe analisugua kwa ndimu kila siku asubuhi mchana jioni au akama akiona shida awe anasugua usiku kabla ya kulala......kuhusu huko kwa bibi ni hivi ndio kuna ile harufu natural inayoleta nakshi na mwamko wa mpaenzi na kuna ile harufu inayotokana na mrundikano wa uchafu hummooo kwenye kishimo kile ANUNUE DETTO YA MAJI.......KISHA AKIENDA KUOGA AAAAH......tene achukue ndoo nzima ya maji achanganye na detto aende bafuni shughuli iwe moja kumuosha bibi tuu...... SHURTIIII KILE KIDOLE CHAKE CHA KATI KIINGIE KUNAKOO MACHINE AFANYE KAMA ANACHOKONOA taratibu akikitoa kidole kile kitakua na UTOKO mweupe ka mtindi ...aingize kidole na kutoa akioshe kidole ndo aingize tena kama mara 5...6...7...YANI Amake sure akiingiza kwa mara ya mwisho kidole chatoka bila UTOKO ULE.....akifanya hivo kila siku aaaaah kunani tena harufu itapungua mwisho itaisha kabisa na utaingia chumvini kwa raha zakooo ati.....MDOMO APIGE MSWAKI KUTWA KILA AKITOKA KULA NA AWE ANATUMIA MOUTH WASHER.MOUTH SPRAY NA BIG JII BAZOKA.......UTAFURAHIA MCHEZO.

Du umeniaribia siku kabisaa...mtindi huko chini....aaah!
 
mmmmh?
 
demu ananuka hiyo nayo kali!!! sasa wewe hua unafurahia uchafu au nini, maana hata chumvini hutaenda, ulimi mdomoni hutaingia, sasa utafurahia ini mkuu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom