Demu wangu mpya anatema cheche

Dah kweli mapenzi uchafu.................Miezi minne ushapata demu mpya kaka we mkaleeeeeeeeeeeeeeee.
 
Hii post kuna mtu mwingine alipost hivi hivi, labda umuulizd alifanya nini.
 

mpeleke kwa dr.Ngogi.
 
kaka hapo hakuna tatizo,nimeona mengi yaliyashauriwa ukiyaunganisha utapata soln bila shaka!!kila laheri na pole kwa kero hizo maana si mchezo
 

Nenda kamwone daktari wa magonjwa ya akili
 
vumilia tu mbona mwenzio nazjaz alivumilia tena wake alikua anajamba mashuzi kila dakika.
 
ukipenda mti penda na ua lake,muone dr.kama akipiga mswaki tatzo ujirudia kuna bacteria fulan,pole usimuache uyo
 
unayemuona kifaa kwako..!! ujue upande wa pili kachokwa vibaya sana!!!!

teh! natania besti...!!!
 
Kinywa aende hospitali, saa nyingine ninmatatizo ya meno

Kwapa asuhulie ndimu na kutafuta perfume itakayoendana na jasho lake

Papuchi aioshe mara kwa mara na afyeke mavuzi
 
Kinywa aende hospitali, saa nyingine ninmatatizo ya meno

Kwapa asuhulie ndimu na kutafuta perfume itakayoendana na jasho lake

Papuchi aioshe mara kwa mara na afyeke mavuzi

haya Bujibuji kazi kwako
 
 
Njia rahisi ya haraka.. Kila cku kama anapika ugali akimaliza kupakua achukue maji masafi ayamimine kwenye sufuria ile ya ugali kwa mda then ayachuje ayaeke pembeni wakati wa kuoga aoshe mwili wake kwa maji ya uvuguuvugu na asafishe uke kwa makini kwa kuingiza kidole cha kati akimaliza kuoga achukue yale maji ya ugali anawe kwenye makwapa na kwenye papuchi baada ya siku tano tu atakuwa mzima.. Vikwapa vingine ni vya asili vinatokoea pale mtu anapobalehe na kuvunja ungo kma haukuvijali mapema matokeo yake ndo huzidi kudumu
 
kwa tatizo la kwapani asugulie ndimu kila cku na hyo harufu itakata baada ya mda mchache...mdomoni awe anatafuna Big G mara kwa mara na akpga mswak ahakikishe anajaza dawa ya kutosha,,huko kwa bibi amwagie tindi kali harufu itakata mara 1, ahsantee haha!
 
Hahaha Dark master,maumivu ya harufu yakizidi muone daktari.
Harufu mbaya mdomoni inabidi tumuagize kwa Professional Bizzy a.k.a (mad Dentist) alishughulikie haraka sana.
kaka vipi lakini?mambo?
 
Hizo ni little imperfections vumilia tu, ila hilo la kinywa akamwone Kinana
 
Kwapani aloweke sufuria ya ugali siku 2kisha aoge maji yale.Mdomoni asukutue maji ya chumvi kila baada ya mlo/kinywaji na amwone Dr. Anaweza kuwa na shida ya sukari pia. Big G aziache.sukari husababisha bakteria. Papuchi awsiliane na Dr. Ndodi nk.Kutumia vitu vya kutoa ule ute inaweza isiwe sahihi.ute ule unalainisha.Akiwa dry atachubuka na hataenjoy. Ajitahidi kunawa na maji ya kawaida. Akiingiza sabuni huko atapata fangas pia atazua tatizo jingine baya. Awasiliane na Dr. Ndodi. Akimkosa atumie TASLY SANITARY DRY PEDS(SHUSHA) kwa miezi 3 mfululizo (90 days). Good Lucky.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…