Demu wangu mpya anatema cheche

ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.

Kaza buti tu utazoea tu, jaribu kuji-condition kwa kuamini kuwa ana harufu nzuri sana, utashinda tu, naamini ukimwacha huyo unaelekea kubaya sana.
 
huyo kimwana hajaikubali hali yake, hivyo kupona itakuwa ngumu! Jaribu kumshauri aikubali hali aliyonayo then mjaribu hizo tiba za wanajamii. Asipokubali achana nae atapata mwenzi aliye na hali kama yake. Ila nakupa pole kwa masahibu haya kwani mwenyewe nimewah kuish na watu wa aina hii, hivyo nafahamu ni kiasi gani inakera hasa harufu hizi zinapokuwa zimemix..
 
kuna mtu demu wake anamwambia eti akimlamba kwapa ndio anafika kileleni
 
Dawa nyingine ya kusafisha huko chini ni kupiga mzigo kisawasawa-machine huwa zinajisafisha zenyewe
 
matawi umenena ila nna swali akiwa period harufu inakuwaje , au ndiyo pua zako zinakufa ganzi?
 

buji bwana
 
Duh! duh! teh! teh! teh! teh! hii kali mi si doctor ngoja waje
 
Duh, mi nilidhani chit chat kumbe MMU, Kweli Bujibuji Umefika. Vp ni sister du au kuku wa kienyeji?
 

mweh! Nikifikiria hayo hamu yote inaisha,kuhusu kinywa na makwapa waone wataalam wa vipodoz,bt hapo kwenye mashine duh! Cjui nadhan ni usafi tu,
 
kanyaga twenda kaka! mie nakuona jasiri kumbe unaogapa mambo madogo kama haya! wengine ndio vinamuongezea hamu mlaji
 
ww mwanamke o mwanaume
 
wewe ni mwanamke au mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…