Hapa umeharibu mambo ya kike haya yanataka private najua unajaribu kumsaidia lkn unadhani buji atamfikiriaje mwali wakeNi kweli kunabinadamu wameumbwa na hali kama hiyo.....wapo wengi tuu ata apige mswaki mara mia domo kunuka ushuzi wa bubu sikia....mdomoni sijui ila kwapa hilo awe analisugua kwa ndimu kila siku asubuhi mchana jioni au akama akiona shida awe anasugua usiku kabla ya kulala......kuhusu huko kwa bibi ni hivi ndio kuna ile harufu natural inayoleta nakshi na mwamko wa mpaenzi na kuna ile harufu inayotokana na mrundikano wa uchafu hummooo kwenye kishimo kile ANUNUE DETTO YA MAJI.......KISHA AKIENDA KUOGA AAAAH......tene achukue ndoo nzima ya maji achanganye na detto aende bafuni shughuli iwe moja kumuosha bibi tuu...... SHURTIIII KILE KIDOLE CHAKE CHA KATI KIINGIE KUNAKOO MACHINE AFANYE KAMA ANACHOKONOA taratibu akikitoa kidole kile kitakua na UTOKO mweupe ka mtindi ...aingize kidole na kutoa akioshe kidole ndo aingize tena kama mara 5...6...7...YANI Amake sure akiingiza kwa mara ya mwisho kidole chatoka bila UTOKO ULE.....akifanya hivo kila siku aaaaah kunani tena harufu itapungua mwisho itaisha kabisa na utaingia chumvini kwa raha zakooo ati.....MDOMO APIGE MSWAKI KUTWA KILA AKITOKA KULA NA AWE ANATUMIA MOUTH WASHER.MOUTH SPRAY NA BIG JII BAZOKA.......UTAFURAHIA MCHEZO.
Ni kweli kunabinadamu wameumbwa na hali kama hiyo.....wapo wengi tuu ata apige mswaki mara mia domo kunuka ushuzi wa bubu sikia....mdomoni sijui ila kwapa hilo awe analisugua kwa ndimu kila siku asubuhi mchana jioni au akama akiona shida awe anasugua usiku kabla ya kulala......kuhusu huko kwa bibi ni hivi ndio kuna ile harufu natural inayoleta nakshi na mwamko wa mpaenzi na kuna ile harufu inayotokana na mrundikano wa uchafu hummooo kwenye kishimo kile ANUNUE DETTO YA MAJI.......KISHA AKIENDA KUOGA AAAAH......tene achukue ndoo nzima ya maji achanganye na detto aende bafuni shughuli iwe moja kumuosha bibi tuu...... SHURTIIII KILE KIDOLE CHAKE CHA KATI KIINGIE KUNAKOO MACHINE AFANYE KAMA ANACHOKONOA taratibu akikitoa kidole kile kitakua na UTOKO mweupe ka mtindi ...aingize kidole na kutoa akioshe kidole ndo aingize tena kama mara 5...6...7...YANI Amake sure akiingiza kwa mara ya mwisho kidole chatoka bila UTOKO ULE.....akifanya hivo kila siku aaaaah kunani tena harufu itapungua mwisho itaisha kabisa na utaingia chumvini kwa raha zakooo ati.....MDOMO APIGE MSWAKI KUTWA KILA AKITOKA KULA NA AWE ANATUMIA MOUTH WASHER.MOUTH SPRAY NA BIG JII BAZOKA.......UTAFURAHIA MCHEZO.
inanikumbusha wakati tukiwa msingi tulikuwa na demu moja ndani ya class tulikimwita "carbon" eti hewa ukaa!!! Kisa alikuwa akitoka mnuko usio wa kawaida kabisa dawati la watatu aliachiwa mwenyewe.siku hizi ni mnene fulani hapa nchini,sijui kama bado ananuka!!
Best kama ni utani basi umefunika na kama uko serious. Nenda kwa kiongozi wako wa dini, funga ndoa halali naye acha zinaa halafu umvumilie katika shida na raha. Ndo maisha ya ndoa hayo. Na cheche zikiendelea mwoneni Daktari!
Inanikumbusha wakati tukiwa Msingi tulikuwa na demu moja ndani ya class tulikimwita "CARBON" Eti hewa ukaa!!! Kisa alikuwa akitoka mnuko usio wa kawaida kabisa dawati la watatu aliachiwa mwenyewe.Siku hizi ni mnene fulani hapa nchini,Sijui kama bado ananuka!!
hii imetuliaaaa jibu liko hapaaaaawell...tatizo la kwapa lianweza kuishwa kwa kutumia deodorant na vikata harufu vingine ikiambatana na medicated soaps zinazoua vimele vya ki bakteria vinavyoleta harufu, tatizo la 'mashine' pia linaweza kumalizika kwa usafi wa kina kwa kutumia medicated soap na pia ni vyema akafanye uchunguzi wa mkojo ili kujua kama ana maambukizi ya magonjwa yanayoweza kuchangia harufu kali, na ikigundulika ni hivyo basi atapatiwa dawa husika...kuhusu harufu ya mdomo kuna dawa za kusukutua ambazo zinasaidia kuua vimelea viletavyo harufu kali zinaitwa "mouth wash"....hizi zina nguvu ya ziada kuliko hizi dawa zetu za meno a.k.a kariakoo dent, lakini pia ni vyema kupata ushauri wa madaktari husika kwani inawezekan harufu ya mdomo inatokaka na vidonda vya tumbo vinaposababisha kitu kijulikanacho kama "perforated peptic ulcer"...kwa hiyo kama unampenda shemeji yetu basi ni vyema kwa utaratibu ukamshauri kutumia vidokezo hapo juu huku ushauri wa madaktari husika wa sehemu hizo i.e. Ngozi = dermatologist, mdomo - dentist na "maashine" - gynacologist
haya kaka...hizo ndo gharama za mapenzi....kila la heri....
Inaonekana wewe ni mtunzi mzuri sana, na hili tatizo sio la mwenzio, bali ni lako na hivyo unataka suluhisho la tatizo hilo...! huenda ndio linalikutesa usidumu kwenye mapenzi hata miezi mitano....! Aidha, katafute dawa fulani za miswaki za Alovera, zinauzwa kama 10,000 tu za kitanzania uwe unaswakia na uwe unameza kidogo, maana kuna bacteria zipo tumboni mwako....! Vinginevyo, kunywa dawa ya kutapika ili upunguze nyongo, huenda ndio imezidi tumboni pia....! La zaidi, waweza kumwona daktari kwa tatizo hilo....!Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.
na hadithi imesha..... hadithi hii kakufundisha nani? inahusu nini?Hayo maelezo mengi unayopewa na wanajf hapa sijui kama utaweza kuyashika yote,shortcut MPIGE CHINI!!!