Demu wangu kaniibia buku 5

mbona umempa nyingi wakati yeye kaibiwa/kapoteza 5,000/- tu?

Machungu yatapungua fasta mkuu.

Nimempatia na ya usumbufu wa hapa na pale afidie tax na mambo mengine madogo madogo.Si unajua bora njaa ya chakula kuliko pesa.
 
Ingawa two wrongs does not make a right (na yeye amekosea kuja kuanzisha uzi hapa) ila kama kweli amechukua bila kuomba au kutoa taarifa huo ni wizi (na wizi ni tabia haijalishi kiwango) inabidi ukiwa na shida unasema nimechukua pesa fulani sababu yule aliyechukuliwa anaweza kudhani kaibiwa sehemu nyingine kumbe ni udokozi wa mtu mwingine

Aombe nini? si amechukua tu ni ya mpz wake, mbona yeye kapewa?angemuuliza tu halafu angekataa ingekuwa vibaya,ila amekosea kusachi, mpka mdada kafanya hivi ujue there is something wrong somewhere!!!! kwa mupenzi anayejali huna hata haja ya kufanya hayo sachi ya nini wakati ukikohoa tu unapewa??? kwanza wanazini wacha tu wakomoane!!!!
 
ameiba au amechukua? mwanaume mzima unakuja kulalamika humu eti umeibiwa buku 5! majanga! chumba atafute yeye, kodi alipe mwenyewe, kitanda anunue mwenyewe godoro na mashuka kanunua mwenyewe wewe unapeleka map.........bu yako tu na ka elfu 5 mfukoni! ila sikulaumu sana inawezekana wewe si mwanaume ila ni mtoto wa kiume. elfu tano unaanzisha uzi hapa! nimesikitika sana ungekuwa karibu ningekuzaba kofi

Umesahau na sabuni ya kufulia mashuka ananunua mwenyewe
 
Hilo ni tunda kutoka kwa mtoto wa kaskazini...

Ni PM tu.. usijali nitakujulisha kila kitu.

NB;
Nina mpango wa kwenda kuanzisha uzi kule jf photo, ni mpambanishe na huyo wako tuone yupi ni mrembo, unaniruhusu?
mwanangu mkareeee
 
Back
Top Bottom