KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
hunishindi maana nimeivutia hadi picha ukubwa wake khaa jaman wakina dada tuangalie aina za mabwana tunaowakabidhi mbunye zetu maana si mnaona vibwana vinavyokuja kutuanika waziwazi khaa Lol
Yaaani kwa kweli mi sitaki kabisa, unakuwa na mtu unajituma haswaaa, akitoka hapo anaenda kijiweni utasikia, demu wangu ana majii, demu wangu sijui hajui kushughulika...
Ona sasa huyu demu anavyodiscussiwa, kazi mbona wanawake na maumile yetu.
Ila hizi comment siyo siri nimecheka saana saana.