TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
licha ya popo kulala kichwa chini na makalio juu akinya mavi hayaendi juu yanadondoka chini
umeona eeehhh!
yaani sina mbavu,
watu wana maneno!
mdogo wangu sisi tufanye kazi tuliyotumwa/tuliyokuja kuifanya.....no wonder watu hawaishi malalamiko humu kila siku!
oh sijui sijui mwanamke akifika anakuwaje,sijui mwa
naume ili amalize haraka sijui fasta inakuwajee,mara sijui sijawahi kumaliza nna mwaka wa kumi huu nafanya!
mambo yenyewe ndo haya!
WATU WANAKUWA BUSY SANA NA KUANGALIA VITU VINGINE BADALA YA KULA RAHA!
aaaaaaaarhg!
saa ngapi mtaona raha kazi kuchunguliana K na madushe tu!!unless hujaamua kuwa kazini ukiwa kazini sijui kama hayo makitu yote yana matter!
AH!
shauri yao wenyewe bana!
mdogo wangu sisi tufanye kazi tuliyotumwa/tuliyokuja kuifanya.....
mastori mengine ni ya kutufanya tucheke kuongeza life span tu, hayatuhusu
ha haaaaaa, lol!ahahahhaha umeona ehn!
ila ngoja niwape hii ya mwisho dada mkubwa!
MTU UKIPEWA KAZI PIGA KAZI! MASWALA YA MALALAMISHI SUBIRI TUME YA KATIBA IFIKE KWENYE KATA YAKO!
tuma kwa njia ya posta big sister banaa!ha haaaaaa, lol!
kwani tume bado unakusanya maoni?
sasa kama mtaani kwangu walishapita sasa hili limetokea baada ya kupita nitatolea wapi hili lalamiko?
ha haaaa, mdogo wangu wewe!tuma kwa njia ya posta big sister banaa!
muda wa kazi ni kazi!
watu wanaomba kazi weeee,wakipata kazi wanaona kazi kufanya kazi,kuanza kazi nyingine ya kutafuta visingizio vya kushindwa kutimiza kazi!
KAMA VIPI IANZISHWE BUREAU YA k na dushez basi!
na watu wawe wanaenda na tape measures plus kukumbuka kanuni za 22/7h
ha haaaa, mdogo wangu wewe!
haya bana
Nimecheka kichizi
kwa ufupi haya maeneo hayahitaji kutumia akili hata kidogomi si wajua huwa sipendagi kutumia maakili mengi haya maeneo!
sasa hapo watu wanapotumia miakili miiiiiingi ndo wanaponchosha!
msalimie Kaizer ukikutana nae!
na siye tumekumiss kama nyanya chungu kwenye kachumbari!Nyie vipi, kwema huko penyewe...au ndiyo mambo ya bombii nyumb ii (sagarasagara).
Halafu nimewamiss mjue...........mnajua mambo ya popo kanya darini?
Demu wangu ana mashine pana!yaani nachukua muda mwingi kumaliza na pia naweza kuchoka bila kufika kileleni!nifanyeje wanajamii forum,2napendana sana tu!naombe ushauri,au kama kuna dawa ya kutumia!
mtani..... hii hata mimi ndo nimeisikia hapa.....Nyie vipi, kwema huko penyewe...au ndiyo mambo ya bombii nyumb ii (sagarasagara).
Halafu nimewamiss mjue...........mnajua mambo ya popo kanya darini?
Demu wangu ana mashine pana!yaani nachukua muda mwingi kumaliza na pia naweza kuchoka bila kufika kileleni!nifanyeje wanajamii forum,2napendana sana tu!naombe ushauri,au kama kuna dawa ya kutumia!
hili sswali ungeniuliza mimi dada mkubwa!mtani..... hii hata mimi ndo nimeisikia hapa.....
ukiona sitoki hapa nasubiri kuambiwa ndo style gani ili niiongeze kwenye ile orodha yangu......
kama ni mpya (kwa zile ambazo ninazo) sasa nitakuwa nimepata balance...... style 4 kwa siku x 7 =????????
upo hapo mtani?
cc. snowhite