Demu wangu ana demu wake..

Dah,ulfaidi! demu wako safi sn,hana wivu. yupi alkuw zaid? natafuta km huyo.haraf itakuw ndio zao yawezekana hata wako amewahi kugongea game. kwa ushauri wangu endelea nao wote.

duh kaka hiyo inaitwa ..fast life aio nzuri nisije pata "blood concussion"
 
cmoney umenkumbusha miaka ya 1989 nikiwa bado kijijini yaani nilikuwa na kaka yangu yeye alikuwa anadate madem 2 na they were freinds and they use to sleep together sasa sijui ulikuwa unafanyaje manake sikuweza kumuuliza yeye but ww u can tell hivi wakati una do na mmoja huyu mwingine ulikuwa unamfanyaje au walikuwa wanafanya colabo katika kukupa raha? je ulienda round ngapi? manake vidume wa siku hizi zenu ni moja au mbili sasa kw wawili ulifanyaje?
nitakuwa banned mdau..labda kama unataka details niPM
 
yaani umenishangaza sana kwmba haya mambo hayako uko mbele tu hata huku nyuma yako. kweli wewe ulikulia killage ingekuwa umekulia hapa town mtu wa kiepe yai na vibia vya utotoni halafu mlopelo wa kichungi cha sigara ungechemka.

ah ah mi mtoto wa daalam kitambo kitovu kipo ocean road...sema heshima y mwanaume hutakiwi kuipoteza easily....also recently nimetoka panda mlima kilimanjaro...guess pumzi bado ipo
 
msisingizie pombe.
Ni tu mmekutana wote 3 mna tabia moja, maana ndege wafananao ndo warukao pamoja........
 
siwezi weka nude picyure hapa mdau koz nisije kuwa banned ila kama una whats app kwe simu nipm namba yako nikuruahie ingawa hazina sura kutunza confidentiality ya watu

Kama una had picha za tukio bas wewe ulidhamiria uko hapa kutuletea taarifa
 
Unanini babu weye? hata hizo pombe zingetoka kwanza inakuwaje kufanya mapenzi chumbani kuna watu zaidi ya wawili?
 
kaka huyo duu wako huo utakuwa ndo mchezo wao na huyo best wake. Na kama ndo walianza tokea zamani huko bodying na huyo rafiki yake, ujue itakuwa ngumu kuacha.
Weka akilini kuwa hata huyo menzie nae akija na jamaa wake shughuli ni hiyo hiyo tu, full mtungo kwa kwenda mbele.
Ila nakuonea donge kweli mze lo!! Umezitafuna zot mbili at the same tym!
 
dah we acha tu kaka hapo ndo utasikia...mulika mwiizi
 
we kaka nawe mwendawazimu,ungekuwa timamu usingeweza kufanya hayo.na usiisingizie pombe,mbona umekumbuka uliyoyafanya?watot wa vyuoni mnamatatizo sana.sasa unataka uambiwe nn na ushafanya.we km umeona mchezo mzuri endelea:smash:
 
mbona unatoa povu hivyo...ach kisirani we mdada utapunguza siku za kuishi...mi nafanya kazi sipo chuo
 
Threesome hiyo ya ukweli. we unagonga mbele ya mwenzie kwani unadhani hatamani? Kawaida hiyo we chukulia poa tu, tena ili ufaidi raha ya mapenzi mualike tena mrudie gemu. Kawaida hiyo mazee, hata ingekuwa mie ningeomba nijoin tugonge demu mmoja inakuwa mzuka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom