Demu wangu ana demu wake..

nimekaa chini nikafikiria nikaona ninahitaji ushauri wa wadau kundini...mimi nna msichana wangu anayesoma chuo kimoja maarufu...siku tulitoka yeye na rafiki yake club kurud hostel nami nikalala chumba chao..sasa kwasababu ya pombe usiku wakati nado na dem wangu rafiki yake akaja na dem wangu akaniomba eti ajoin(3some)...kweli niljpiga mzigo na walikuwa wanacare sana coz hata kana sijamwaga nikienda kwa mwengine kondom mpya inavaliwa...sasa nimekaa chini namawazo je dem wangu ni lesbian au uzungu..yeye anasingizia pombe..

Nmeelewa kwanini my mke hataki nionje wala kunywa hyo kitu pombe! Ila ulifaidi nadhani.....!Next tym msiende kulala wote hostel na kutaka ku-do nae mwenzake akiwepo
 
ni kwamba wamekuonesha wanavyo changia wanaume kwa hiyo huyo demu wako analiwa pia na jamaa mwingine yani bwana wa rafiki yake! mla vya mwanzie na vyake uliwa
 
pole but siyo tabia nzuri hata kidogo, na ninakumbuka nimewah kumshuhudia mtu akifanya na watu 2, kwamba aliingia nao rum akalala nao hadi asbh. sasa usiendekeze haya mambo ni mabaya sana
 
Mtakapoyaona mambo kama haya, changamkeni mkaviinue vichwa vyenu maan ukombozi wenu umekaribia. Kweli dunia imeiasha, yaani unaleta maada ya kijinga namna hii ukijisifu kwa kufanya uzinzi tena ulio square, chunga sana, ukiendeleza tabia hii jua kuwa moto wa milele unakusubiri.

"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

yule asiye na dhambi aanze kurusha jiwe ....unauhakika gani mi nimejisifu...AU NYIE NDO WALE MNAOTEMBEA NA VYETI KWE MABAHASHA KUJIFAGILIA UMEMALIZA CHIO WAKATI...WAJANJA WANATENGENEZA PESA TU
 
nani kakwambia hatujui? Si unaongelea wale mademu wa kile chumba cha kushoto ukitokea upande wa kule. Subiri 2 days kuna mdau atakuwa karudi halafu uone itakavyosambaa.

ah ah based on a true stori....kuna mambo nimeficha ili kujua watu ka nyie wa kuunganisha dots na kuja na majibu
 
JF is never boring, kwa hiyo siku nyingine ukiamua kumuchukua huyo rafiki yake atakulalamikia na wakati tayari ushawala wote? I mean, how comes mwanamke awe tayari umdo mwenzie mbele ya macho yake? Mwanamke asiye na hata chembe ya wivu huyo hana hata mpango na wewe. Na wewe unasema ulikuw umelewa sasa ulijuaje kama kondom zilikuwa zinabadilishwa kwa usahihi? Yaani JF is full of funny. Na unajuaje kama hakurekodi mkanda hapo ili akauze apate hela. Kweli wewe waweza kuwa ni wa kiume na si mwanaume.

am not happy with it ndo maana nikaomba ushauri....and am considering all options posible..ingawa kuna vitu hata ulewe huwezi sahau ...kama wewe dereva sidhan kama unashindwa drive ukilewa
 
Kwa hiyo na wewe pia unasingizia pombe? Wewe mwenyewe umeshiriki halafu unauliza matatizo ya mmoja wa mshiriki, hujioni kama na wewe ni tatizo?
 
Kwamba demu wako nae anakuwa kwenye threesome pale anapokuja basha wa shoga'ake hilo halina ubishi!! Hofu yangu hapo ni moja tu.....ni threesome pekee au ana-act lesbianism as well?! Kama ana-act lesbianism, je role yake ni ipi anapokuwa na shoga’ake pekee?! Ana-act kama demu au basha?! Heri yako awe ana-act kama demu, yaani yeye ndo analiwa....! Lakini kama role yake ni ya baba, then watch out….usije siku katikati ya mchezo ukajikuta umeshapigwa finger kwenye tundu! Yakikukuta haya, rudi utoe ushuhuda kwa umma wa JF! NI TAHADHARI TU!!

dah hii post ni nzito haswa...mh il sidhan kama ntafika hiko kutaka kujua mengi klz nimeshafanya maamuzi ambayo nadhan itakuwa best for all of us
 
Dah,ulfaidi! demu wako safi sn,hana wivu. yupi alkuw zaid? natafuta km huyo.haraf itakuw ndio zao yawezekana hata wako amewahi kugongea game. kwa ushauri wangu endelea nao wote.
 
then kama ulikuwa umelewa hizo change za condom umejuaje/ ulikuwa na concise zako na ulifurahia asa baadaye unajiuliza ndo hivo na wako huwa analiwa!!
ukiona manyoya?.......

mh...hilo nalo lilinipitia kichwani mdau
 
cmoney umenkumbusha miaka ya 1989 nikiwa bado kijijini yaani nilikuwa na kaka yangu yeye alikuwa anadate madem 2 na they were freinds and they use to sleep together sasa sijui ulikuwa unafanyaje manake sikuweza kumuuliza yeye but ww u can tell hivi wakati una do na mmoja huyu mwingine ulikuwa unamfanyaje au walikuwa wanafanya colabo katika kukupa raha? je ulienda round ngapi? manake vidume wa siku hizi zenu ni moja au mbili sasa kw wawili ulifanyaje?
 
Threesome ina raha yake mkuu yani top of the game lakini co kwa demu mwenye future nae itakusumbua bdae.. Kama ni Ud, Saut, Mzumbe au Sokoine viwanja vya mazoezi kibao kula tizi za maana 2 au ingia gym mkuu ball posession iwe ya maana kunako game. Otherwise enjoy hata ukifanikiwa kuzeeka unachakukumba na kucheka huku ukicheza na wajukuu pembeni.

all advice will be considered...thanks mdau though its kinder risky
 
Nmeelewa kwanini my mke hataki nionje wala kunywa hyo kitu pombe! Ila ulifaidi nadhani.....!Next tym msiende kulala wote hostel na kutaka ku-do nae mwenzake akiwepo

am considering hata kuacha hii mikojo ya firauni...koz napoteza zaidi na ninavyogain
 
nimekaa chini nikafikiria nikaona ninahitaji ushauri wa wadau kundini...mimi nna msichana wangu anayesoma chuo kimoja maarufu...siku tulitoka yeye na rafiki yake club kurud hostel nami nikalala chumba chao..sasa kwasababu ya pombe usiku wakati nado na dem wangu rafiki yake akaja na dem wangu akaniomba eti ajoin(3some)...kweli niljpiga mzigo na walikuwa wanacare sana coz hata kana sijamwaga nikienda kwa mwengine kondom mpya inavaliwa...sasa nimekaa chini namawazo je dem wangu ni lesbian au uzungu..yeye anasingizia pombe..

yaani umenishangaza sana kwmba haya mambo hayako uko mbele tu hata huku nyuma yako. kweli wewe ulikulia killage ingekuwa umekulia hapa town mtu wa kiepe yai na vibia vya utotoni halafu mlopelo wa kichungi cha sigara ungechemka.
 
Kwa hiyo na wewe pia unasingizia pombe? Wewe mwenyewe umeshiriki halafu unauliza matatizo ya mmoja wa mshiriki, hujioni kama na wewe ni tatizo?
Am nt happy na kilichotokea ndo maana am seeking for unbiassed advice...sijaribu kumhukumu mtu..am just stating the facts straight....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom