Demu wa mtandao

Demu wa mtandao

Bora muonane live ili ata asipo meet ur expectation basi unamkeep as a good friend kuliko ukamtongoza zen mkaja kumeet unakutana na nguchiro uanze kuharisha uku jukwaani
 
Me nishawahi kumtongoza msichana mtandaoni na tukakubaliana humo humo kwenye social media.Siku niliyokutana naye ilikua nikulila tunda tu na nilifanikiwa kula mzigo bila tabu ingawa ilinichukua kama miezi miwili na kitu mpaka nakula tunda.Mpaka leo nipo nae kwenye mahusiano.
Daah,, hongera mkuu
 
Back
Top Bottom