Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,691
- 18,689
Mpaka mmefahamiana kwenye mitandao tayari umeshatongozana kilichobaki kulaneni au nyimaneni kutongozana tena ya nini labda ka unataka kumuoa.
Usilaze damu nakuambia.Ety eehh...!!!
Ni mwendo wa kutupia makombora au sio..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usitongoze kabla hamjaonana. Onana nae kwanza jiridhishe ndio umwage sera. Haya mambo ya kutongoza wakati hamjaonana ndio yanasababisha mkimbiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unitahadharisha nisikutongoze leo?Usitongoze kabla hamjaonana. Onana nae kwanza jiridhishe ndio umwage sera. Haya mambo ya kutongoza wakati hamjaonana ndio yanasababisha mkimbiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo La Stanza tutongozane hapaKwahiyo unitahadharisha nisikutongoze leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo body test imenimalizaInategemea mtu na mtu,ila kama kila mmoja anajua muonekano wa mwenzake kwa picha/video n.k katika chatin zenu huko huko mnaweza kumalizana,na inapotokea siku ya kukutana mnafanya body test.
We nikija unaingia mitini. Zamu yako wewe njoo Bunju nikuangamize
Nitumie nauli babuWe nikija unaingia mitini. Zamu yako wewe njoo Bunju nikuangamize
Me nishawahi kumtongoza msichana mtandaoni na tukakubaliana humo humo kwenye social media.Siku niliyokutana naye ilikua nikulila tunda tu na nilifanikiwa kula mzigo bila tabu ingawa ilinichukua kama miezi miwili na kitu mpaka nakula tunda.Mpaka leo nipo nae kwenye mahusiano.Ety wadau...
Ni wakati upi ni sahihi wa kumtongoza/kumtamkia bayana demu uliyefahamiananae kupitia mtandao...
Ni vizuri umtongoze baada ya kuonana live au kabla ya kuonana live...?
Ipi ina-makesense hapo..?
Uzi tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
ha ha ha ha nipe uzoefu Mzigua90[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo body test imenimaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kutongozana ni baada ya kuonanaha ha ha ha nipe uzoefu Mzigua90
ha ha ha ha unataka utathmini nini?
Vingi tu. Picha sio kila kitu.ha ha ha ha unataka utathmini nini?
Kamata uber hapo acha ujinga
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nishakamata. Niko njianiKamata uber hapo acha ujinga
ha ha ha ha unaniongopea.Vingi tu. Picha sio kila kitu.
Anavyoongea
Anavyowachukulia wengine mf. muhudumu
Anavyokula
Haboi
Sent using Jamii Forums mobile app