Demu wa masaki vz denu wa tandale

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
mke anaeishi Masaki akimuagiza mumewe zawadi utasikia "honey usisahau kurudi na soseji, piza,au kuku sawa dear"
Ishu ipo kwa mke wa TANDALE, utasikia " We Juma usisahau kurudi na miguu ya kuku, utumbo, mihogo ya kukaanga tia pilipili nyingi"
 
Andika post zenye maana **** wewe..yanaumuhimu gan uliyoandika?nenda bac ukawe house boy masak
 
Kwan ayaneishi tandale sio binadamu?acha kuwadhiak watu wa tandale wewe,hili ni jukwaa la magreater thinker,we should think with open mindeness and without skeptism.by the way sijaona umuhimu wa topic yako broo.
 
ndio maana likaitwa jukwaa la utani na udaku, vitu siriaz kuna majukwaa yake
 
mke anaeishi Masaki akimuagiza mumewe zawadi utasikia "honey usisahau kurudi na soseji, piza,au kuku sawa dear"
Ishu ipo kwa mke wa TANDALE, utasikia " We Juma usisahau kurudi na miguu ya kuku, utumbo, mihogo ya kukaanga tia pilipili nyingi"

kumbe kula soseji na piza lazima ukae masaki! hahahahaha!
 
Andika post zenye maana **** wewe..yanaumuhimu gan uliyoandika?nenda bac ukawe house boy masak

Msipende hukumu buree,alichoandika kina umuhimu mkubwa na kwake ndo ameona kichekesho ambacho watu watavunjika mbavu ,yupo jukwaa sahihi na kaweka kitu sahihi huna haja ya kumtusi wala nini..
 
At least now some people are beginning to talk! Jukwaa la utani ndio mahali pake alichoandika huyu bwana, labda aliyepotea njia atambwatukia hovyo, na hapo ataonekena yeye ndiye hayuko serious. Wewe kama hujui kuchanganya maneno usimjibu konda akiongea hovyo, ama sivyo utaota maluweluwe usiku
 
sasa kumbe! kila mbuzi anaishi kwa urefu wa kamba yake, atamwagiza vp eggchop, wakati anjua uwezo wa juma ni wa kuleta mtura? big up dada wa tandale coz unajitambua
 
mke anaeishi Masaki akimuagiza mumewe zawadi utasikia "honey usisahau kurudi na soseji, piza,au kuku sawa dear"
Ishu ipo kwa mke wa TANDALE, utasikia " We Juma usisahau kurudi na miguu ya kuku, utumbo, mihogo ya kukaanga tia pilipili nyingi"

Hiyo tabia ya mke kumwagiza mume kurudi na sosej ni ya uswahilini, kwanza uswazi kula sosej ndio chakula babu kubwa sana, wakati ,masaki Sosej ni kwa breakfast . Demu wa uswazi akiulizwa wat iz yua fevarit fud utasikia "Sosej" .

Nikupe dondoo kidogo, huku Ushuwani yaani Masaki ,Obay na sehemu posh, wanawake hawaagizi waume zao kurudi na grosaries, wao huenda wenywe sababu wana magari yao au ana tumwa houseboy au pia dreva , kama mama yuko bussy kwenye spar au anajianda kwnda kwnye Kitchen party au buzzy kwenye biashara zake au kwenye kazi yake ya officeni.

Hayo mambo ya kumtuma mume sokoni ni mambo ya kiswahili zaidi kwa watu wa Tanga , Znz tuseme Pwani zaidi , ambapo uswazi ndio yameshamiri zaidi.
 
We naye maelezo mareeeeeefu, hivi unadhani watu wote wanaoishi masaki (eti posh) wanafanana.......FYI kuna wanawake wanawaagiza waume zao groceries pia kama zawadi especially apples, kuku na hata soseji....Kwa hiyo acha kukariri
 
kumbe kula soseji na piza lazima ukae masaki! hahahahaha!

kwanza hayo yote unaongeza uwezekano wa kuwa na blood cancer-lukemia. Hujiulizi kwa nini wamarekani wanateseka na kansa sana kama malaria inavyotutesa huku bongo?. mimi kila siku lazima nipate pande la muhogo, virigizi na utumbo wa kuku, na ka mnazi kidogo.....nasikia burudaniiii-kila kitu natural. gademu you slavery minded!!
 
Kwa wa baba wa sinza , K'ndoni n.k unarudi chakari huku unaimba malaikaaaaaa.....nakupendaaaaa malaaiikaaaaa.....
 
kwanza hayo yote unaongeza uwezekano wa kuwa na blood cancer-lukemia. Hujiulizi kwa nini wamarekani wanateseka na kansa sana kama malaria inavyotutesa huku bongo?. mimi kila siku lazima nipate pande la muhogo, virigizi na utumbo wa kuku, na ka mnazi kidogo.....nasikia burudaniiii-kila kitu natural. gademu you slavery minded!!

Heeeheeee makubwa haya tena teh teh teh ....
 
Tatizo watu watu wengine wanarukia ku-comment bila kuangalia sredi umewekwa jukwaa gani. Ipo siku tutakuta watu wameweka mambo ya jukwaa la mambo ya kikubwa kwenye jukwaa la siasa.
 
Ha ha ha ha! Wa tandale hatujui piza wala soseji. Hivi ni nini hizo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom