Demu wa masaki vz denu wa tandale

Wa tandale tunajua soseji ni utumbo wa mbuzi alaf kwa juu tunaongezea na mtindi kuboresha utamu! Huku kwetu uswahilini kuna mambo ukila soseji nyujmba nzima iliyojaa wapangaji tunashindana kwamba leo flani kala vizuri kweli kuliko wengine hi hi hi hi!!
 
kwa hiyo nini maana ya haya maelezo yako? .... So pathetic aiseee...
 
mke anaeishi Masaki akimuagiza mumewe zawadi utasikia "honey usisahau kurudi na soseji, piza,au kuku sawa dear"
Ishu ipo kwa mke wa TANDALE, utasikia " We Juma usisahau kurudi na miguu ya kuku, utumbo, mihogo ya kukaanga tia pilipili nyingi"

he he he ho ho ho!!! mwanangu huku Darfur ninakoishi demu anakuagiza urudi na risasi na mabomu ya kutumia wiki nzima.
 
Dr. nimeona malumbano hapo juu naomba nitoe maoni:

1. unapotoa hoja hata kama ni ya kulalamika kwenye jukwaa hili ni lazima iwe ya utani, ucheshi na kufurahisha sio kuumizana, ukitaka malumbano ya kisiasa kuna jukwaa lake.

2. Dr. usivunjike moyo na aliyekushambulia, unajua kuelewa kichekesho mpaka ucheke inahitaji IQ ya kutosha. Joke hii uliyoitoa ni babu kubwa ila kuielewa ndio hivyo IQ.

3. Kuna watu wanadhani kusema glossaries ndio kuishi masaki. kusema ukweli ulichoongea kwenye mada ni kweli kabisa shopping za masaki zinafanywa pale Shrejees morogoro store, shrejees slipway, seacliff supermarket, mayfair plaz nk na vitu vinavyonunuliwa tena na wanaume wanapotoka kazini kwa 'order' za wake zao ni kama ulivyoeleza.

4. Endelea kutupatia burudani, hapa umeongeza siku kibao za kuishi kwa sisi tuliocheka......don't regard wavunja moyo, hawana jema.

5. Huyo kwani amelipia hii huduma???? mbona madai mengi tunapigana mawe umechangia JF tayari au JF wanalamba mkono mtupu?
 
kweeeli imekuuuma sa nani alikutuma kuishi tandale.....................???

Unadhani?.....sio hivyo...mwenzio ni muuza utumbo wa kuku na anauza mpaka kwa masharobaro, sasa anahisi jamaa anamkandia.

Kama unakumbuka huyu jamaa amewahi kuomba mods waanzishe jukwaa la malumbano na magomvi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom