Demu kanikata stimu huyu

Demu kanikata stimu huyu

Nilikua nimempania nimpige mashine kisawasawa.

Ila kaja ghetto mbiyo mbiyo.

Kafika tu kaweka mkoba wake kabatini akaniambia tumbo linamkata hivyo anaingia toilet kuharisha.

Dah, katoka baada ya nusu saa hivi hata mzuka wa kumtia umeisha.

Kanikata stimu sana.
Unaahirishaje game kwa sababu za kipuuzi?
Rudi geto kula mzigo ulete mrejesho.

Mbona unashusha taaluma, wakati sisi tunapambana kuipandisha!?
 
Nilikua nimempania nimpige mashine kisawasawa.

Ila kaja ghetto mbiyo mbiyo.

Kafika tu kaweka mkoba wake kabatini akaniambia tumbo linamkata hivyo anaingia toilet kuharisha.

Dah, katoka baada ya nusu saa hivi hata mzuka wa kumtia umeisha.

Kanikata stimu sana.
😂😂😂
 
Mijinga ndiyo iliwayo. Huna haja ya kutuambia mambo yako ya chupi. Mitoto inayojifunza haya mambo taabu tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom