Demu anachezea Simu Wakati Wa Sex!

Demu anachezea Simu Wakati Wa Sex!

Thread kama hizi zilifaa kuwekwa kwenye dustibin kabisa.........nashangaa watu wanavyoiduscuss.

No wonder threads za kijinga kijinga (be it za ukweli au za kutunga) haziishi humu jukwaani!
 
Wote wawili ni wazembe. Ukutane na mwanaume hasa anavyokutundika miguu hukoooo mikono iko hukoooo hiyo simu utaikumbuka. Mpe somo rafiki yako.

Hahahaha...Mkuu acha kuchekesha...! Anakutundika miguu kihivyo imekuwa vita!!

Mwenye utaalamu wala hakutundiki miguu bali utajikuta unainyanyua na kuitundika mwenyewe.....!!!
 
Mwanamke kweli imkolee achezee cm haiwi kabisa ule mchezo una raha yake peke yake lakini umpate mchezaji anaejua thamani ya mchezo,sasa huyu rafiki yako mwambie aseme ivi wenzangu nipeni ujuzi mpenzi wangu anatumia cm wakati wa mchezo,au aenda kwa babu atamfundisha kama anaona aibu vijana wenzie...
 
Thread kama hizi zilifaa kuwekwa kwenye dustibin kabisa.........nashangaa watu wanavyoiduscuss.

No wonder threads za kijinga kijinga (be it za ukweli au za kutunga) haziishi humu jukwaani!

Ukiona thread ni ya kijinga, halafu ukachangia, basi ujuwe umeongeza idadi ya wajinga...
 
anachat na nani? i dont believe if that is possible..
 
Hadithi nyingine jamani hata danganya toto haiji. Najaribu kufikiri, sm hiyo ilivyo halafu position za wawili hao zinavyo kuaga, siioni hiyo sm na huo mchezo.
Anywey, kwa kuwa tumeambiwa huyu bwana aliwahi pigwa kibuti na demu mwingine basi hata huyu yupo hapo kimaslahi tu. Huenda analengo lake, likitimia tu naye ataondoka.
Huyu Bwana anatatizo kuubwa tu. Hata angetumia kale kakidole kadogo ka mkononi, bado huyo Kigoli wake angemsikia. Hata lingelikuwa Shimo acha tundu angesikia angalao amwulize ni kadudu gani hako? Sasa, imagine, ushtukie mwenzio anachat huku weye unamenyana. Uongo mwingine jamani tafuteni pa kupeleka. JF hatuna Paukwa Pakawa...ndg ajifunze stadi za kazi na atafute jika lake akiisha zoea, ndo aende kwa hao mamazao
 

usikute best yako anaparamia
hajui kumuandaa mpnz,wala nini
anajua kutwanga tu, dem hana
feelings kabisaaaaa!!
 
atakua mzee wa kimya kimya kwa iyo mdada anakosa nakshi nakshi za kumpa mzuka!
 
Nina nina Rafiki yangu ambae tuna shere Story nyingi na kuishi kama ndugu!

Amekuwa akinieleza jambo hili Mara kwa mara Yeye amepata Kigoli Mpya baada ya kupigwa kibuti na Demu wake wa awali,

Lakini tatizo la huyo Kigoli mpya Anasema wakiwa faragha Kwenye MGEGEDO kigoli Huyo yeye anachatI na simu tu Wala hana Habari za kukata Mauno kabisaa!?

Sasa nimeshindwa kumshauri Mimi nilitka kumwambia pengine hana maujanja ya kumsisimua huyo kigoli nikaona hapana ngoja Niulize Kwa Wana Jf,

Hili ni tatizo gani Jamani?


Naomba kuwasilisha hoja.




Ushari wangu:
Mwambie huyo rafiki yako akupe direct contact ya huyo kigoli halafu iweke hapa ili tumuulize yeye mwenyewe, maana ndio mwenye jibu sahihi kuliko mtu mwingine yeyote
 
Wote wawili wanaumwa akili! Kugegedana kunahitaji ushirikiano wa kimwili na kiakili. Kama hakuna ushirikiano toka sehemu moja, basi tendo hilo hugeuka na kuwa kubakana! Kwa mtu makini anapoona mpenzi wake hatoi ushirikiano wakati wa kugegedana, huishiwa hamu nakuanza kuhoji kulikoni.
 
this is a man made story. hakuna binadamu wa hivi!

sex ina involve purukushani nyingi sana sana tu, wewe huo muda wa kuchezea simu utautoa wapi?
 
Hili jukwaa tamu sana ukikereka na siasa ingia humu yaani ni raha burdan na Elimu ya kutosha.
Ebwane hebu muulize inavyosimama inakuwa ngumu kama fimbo au kama mkate ulio lowana na maji?

Ha! Umeniacha hoi
 
Back
Top Bottom