Duhhh,ukimaliza funika eheee?
Inaonekana jamaa hajui kumuandaa huyo msichana wake,yeye akipandisha tu mistimu yake anamparamia tu.Hebu aanze kumuandaa,yako maandalizi mengi yakiwamo mandhari yenyewe ya gemu,soft music anayoipenda huyo bi dada,drinks anayoipenda huyo bidada,maongezi matamu yasiyo mkera,then romance kwa muda,ikiwezekana mpaka kuingia mgodini Uvinza,unaendelea mpaka uone changes,mbona atakuvuta mwenyewe uingie ulingoni,hapo hata simu zikipigwa hakuna atakayesikia!Hata kama una kibamia,kumwandaa tu peke yake kunaweza kumfanya apige ukelele wa utamu!
Na nyie vijana wa siku hizi,kula vizuri,fanya mazoezi,ili ukipata mechi unamridhisha mwenzio!
Inawezekana hata filimbi ya kuanza gemu haijapigwa,kijana ushatupia mpira wavuni,alafu hoi,huwezi kuleta mpira kati muanze mechi!Mnatudharirisha mnajua!