Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,157
- 2,663
Hili limewapata wengi, kuchelewa tu kutimiza ahadi anakublock na anakwambia hahitaji kukuona tena...nini dawa ya huyo?

Ushauri mzuriAhadi ya kumpa kitu ama unaongelea miadi ya kuonana? Usikubali kuwa manipulated, na umsome mwenzio umjue tabia yake. Na wewe kama huna hakika unaahidi ili iweje? Kama umekwama si ungemueleza tu. Ila kama Yuko obsessed na vitu namna hiyo hafai kuwa mke huyo
Hili limewapata wengi, kuchelewa tu kutimiza ahadi anakublock na anakwambia hahitaji kukuona tena...nini dawa ya huyo?
msisahau ahadi ni deni
Ahadi ni nia ila uwezo unaweza kugoma..!!!!!!
ahadi ni nia since when?,?????
mpaka unatoa ahadi means una uwezo wa kutimiza ahadi ni deni na usipotimiza unajipunguzia vigezo atiii
Hivi nyie wanaume wenzetu sijui wavulana wengine mkoje jamani????!!!!
Au ni umri????!!!!
Unasumbuliwaje kijuha hivyo???!!
Au Marioo unatunzwa so unahofia maisha???!!!
msisahau ahadi ni deni
Tena wewe.... ngoja nikakublock. Umenichomesha sana mahindi.
Na deni haliui wala kufunga mtu!
ahadi ni nia since when?,?????
mpaka unatoa ahadi means una uwezo wa kutimiza ahadi ni deni na usipotimiza unajipunguzia vigezo atiii
nenda love connect kule sehemu husika. good luckyUshauri mzuri
Hivi King'asti umeshaolewa?samahani lakini natafuta mke