Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
Sisi ambao hatutaki kufanya kabla ya ndoa hayo maumivu hayawezi kuambatana nasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
umepata wapi uhakika broo,kwamba hazipo?Yaani nikaambiwa, yatokee kwa dada zako, kwa watoto wako wa kike!
Iliniuma ila nikasema laana za uzinzi hazishiki, ila ilinifundisha sana kuwa mkweli napomfata mtu (transparency).
umepata wapi uhakika broo,kwamba hazipo?
Hawa samaki wakubwa ndio haohao wanaokuja na ID mpya kama new entries... usije ukasema sikukutonya mapemaHawa samaki wakubwa hawakunjiki tena hawa, new entries ndo ingekuwa sawa.
Hawa ni story tu babu.
Hawa samaki wakubwa ndio haohao wanaokuja na ID mpya kama new entries... usije ukasema sikukutonya mapema
Mkuu huyo unahitaji umbakee... Yani kuwa na roho ngumu sanaa... Nilipata wa hivyo yani kama mara 3 zote anazinguaa... siku hiyoo aiseee sikusikiliza vilio vyake...Mie wangu sijamgonga ila nilishamtia vidole mpk hakuna bikira tena ila dushe haitaki iingie sijui nifanyej
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana wangu hata sikutishi, ile nyama au tuseme ule mchezo ni mtamu Sana Sana aiseeee, huo ndio ukweli LAKINI matokeo yake yanakuja kuumiza Sana na mbaya zaidi at that time hujui ni Nani Hasa aliyekuambukiza! Unateseka, unatengwa na wana family na mbaya zaidi hadi Marafiki zako.
[emoji22][emoji22][emoji22] Kweli bro... Yani kuuza mechi nako hukuu...!!Kijana wangu hata sikutishi, ile nyama au tuseme ule mchezo ni mtamu Sana Sana aiseeee, huo ndio ukweli LAKINI matokeo yake yanakuja kuumiza Sana na mbaya zaidi at that time hujui ni Nani Hasa aliyekuambukiza! Unateseka, unatengwa na wana family na mbaya zaidi hadi Marafiki zako.
Leo kikohozi, kesho vidonda, mkanda wa jeshi, kuharisha, kukonda, depressed! Aaahhh acha kabisa aiseeeee
Bahati mbaya, at that juncture Unatamani ku-reverse maamuzi yako uishi kabla ya Jana! Unajikuta huwezi....
Kuna wimbo wa Kijitonyama Upendo Group Siikumbuki unaitwaje ila una maneno yanasema "Kitendo cha nusu kitakuweka kitandani mwaka Mzima...., heri leo uamue Kusema hapana wewe, .....!!!
This is a brotherly advice speaking from experience!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app