interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Hahaaa...inauma sana sababu unakuwa umemuwezeshea njia mwingine kuja kujinafasi temporarily kama wewe au permanently[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja ambaye nilimtoa usichana wake nikapita nae mara nyingi sana.. Kutokana na makosa yangu mwenyewe akataka kuondoka daaah nilimzuia sana..
Kuna hiki kitu nilikuwa najiona mkosaji yani, nilijuta hata kwanini niliitoa.mpaka leo mimi na wanawake wasioguswa tuko tofauti sana.bora niachane na mtu nikiwa sijapita nae kuliko aone nimemtumia na kumtema, inaumiza.
Sent using Jamii Forums mobile app