Demu akikuacha kabla hujamla

Demu akikuacha kabla hujamla

Yaani nikaambiwa, yatokee kwa dada zako, kwa watoto wa kike!

Iliniuma ila nikasema laana za uzinzi hazishiki, ila ilinifundisha sana kuwa mkweli napomfata mtu (transparency).
Hata kama unaamua kumuacha mwambie tu ajue ataumia lakini atakuja kusahau sio mtu ghafla hapokei simu hajibu text lazima umpe laana zote
 
habari wakuu

Hivi kwa nini manzi mkiachana kabla hujamgonga inaumiza kuliko yule ambaye mmeachana umeshamgonga.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Demu kabla hujamla huyo siyo demu wako wewe unasimama kama mlinzi tu akikuacha au mkiachana hakuna kuumia ni kama umefukuzwa kazi ya kuwa nyapara wakati wa kutoka jera

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom